Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Iko hivi mimi niko na mdada kwenye mahusiano ni mdogo tu ako na 21 saivi.

Sasa kilichonileta ni kwamba huyu mdada kweli haniombi pesa na anakuja geto kwa wakati na tunafanya yetu vizuri sana.

Sasa huyu mdada ana watoto wawili ambao amezaaa na jamaaa sasa huyu demu anapenda sana mimi na yeye tuwe huru.

Mara ananipeleka hadi kule kwa wakwe zake tukawaone watoto sasa mimi nawasiwasi kweli huyu anafaaa kuolewa na mimi au nipige tu kumaliza haja zangu afu nipige chini.

Pia ninavyomuona ni mtu wa watu wengi japo sina uhakika maana akija hapa geto nakuwa free kabisa na simu yake hana shida.

Je, nifanyaje nioe au na mimi nizalishe mmoja nipite hivi asanten WanaJF.
 
Back
Top Bottom