Iko hivi mm niko na mdada kwenye mahusiano ni mdogo tuu ako na 21 saiv sasa kilichonileta ni kwamba huyuu mdada kweli haniombi pesa na anakuja geto kwa wakat na tunafanya yetu vizuri sana sasa huyuu mdada ako na watoto wawili ambao amezaaa na jamaaa sasa huyuu demu anapenda sana mm na yeye tuwe huru mara ananipeleka hadi kule kw wakwe zake tukawaone watoto sasa mm nawasiwasi kweli huyuu anafaaa kuolewa na mm au nipige tuu kumaliza haja zangu afuu nipige chini pia ninavyomuona ni mtuu wa watuu wengi japo sina uhakika maana akija hapa getoo nakuwa free kabisa na simu yake hana shidaa jeee nifanyajeee nioe au na mm nizalishe mmoja nipite hiviii asanten wana jf .