Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

21 yrs ako na toto mbili aloo noma.

Achana nae mapema kama huna nia nae, usiwaze kumzalisha wala kumuoa.

Wanawake linapokuja suala la kuteka hisia za mwanaume wako njema mno mno, na kama ni kanyaboya basi unajaa na unaoa kweli halafu huko ndani aanze kukuonesha rangi yake halisi huku yeye akikujua nje ndani na wewe utabaki huna la kumfanya zaidi kurudi jf kuomba ushauri tena.
 
Mka
Inshu iko hivi ,,yaani hapo ana miaka 21 na ana watoto wawili huyo mapenzi alianzaga nadhan akiwa na miaka hata 13,,ushauri ni buree piga chini huyo
 
kuwa free na simu yake ndo unakuwa unafanya nayo nini
kwahiyo unamuona huyo baba wa watoto wawili ni mjinga
 
Bora kuwa na mtu anayekupenda na asiyekuwa na makuu
 
MKUNDOOR WAKO
 
matatizo ya kutolelewa kiume hili sio swala la kuleta jf zaidi ungefanya maamuzi ila pole maana hujui nn ufanye utaliwa kichwa
 
Mzeee kiswahili ya kenya sasa nimekosea tuu
Mzee pole Sana
Me ako na watoi wawili katika age ya ushangazi
Huyo manzi ako ako na watoi wawili katika age ya 21. Mbona ako na haraka sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…