Je ni sahihi mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika

Je ni sahihi mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako.

Nafasi ya amani Afrika​

l
 
Tumepotezwa na haya matapeli ya kisiasa wewe mpaka madelu kitambi nyamitako nk nao ni sehem ya serikali mazingaombweee
 
Back
Top Bottom