M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 14,205 Reaction score 19,142 Jun 26, 2026 #1 Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako. Nafasi ya amani Afrika
Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako. Nafasi ya amani Afrika
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,248 Reaction score 18,435 Jun 26, 2026 #2 Tulikuwepo kabla ya utawala huu, ila kwa sasa hata kwenye 20 bora hatukanyagi.
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 5,995 Reaction score 8,799 Jun 26, 2026 #3 Tumepotezwa na haya matapeli ya kisiasa wewe mpaka madelu kitambi nyamitako nk nao ni sehem ya serikali mazingaombweee
Tumepotezwa na haya matapeli ya kisiasa wewe mpaka madelu kitambi nyamitako nk nao ni sehem ya serikali mazingaombweee