Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

Umbuju

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
79
Reaction score
78
Nimevurugwa sana..

Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.

Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.

Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu, kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)

Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.

Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?

Wanaume wenzangu mnaishije na wake zenu walio ajiriwa sehemu mbalimbali,mnakutana na changamoto zipi kwenye ndoa
 
Nimevurugwa sana..
Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.
Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.
Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu,na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu,kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)

Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.

Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?
Mkamatishe kwa takukuru uyo boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi asiache Wala Nini maana kazi zenyewe ngumu siku hizi,mkuu tafuta alternative ya kudeal na huyo Boss.Kuwa Boss ndio atafune wake za watu,huyo Boss Ni cheo,Mungu anayomamlaka ya kuondoa hicho then atabaki mtu wa kawaida tu.
Kama anasumbua Sana huyo mke wako fanya maombi maalumu kwa Mungu ili Mungu achukue hicho cheo halafu Kama atamsumbua mke wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimevurugwa sana..
Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.
Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.
Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu,na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu,kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)

Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.

Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?
Mkeo anataka mwenyewe kutongozwa kwani akikataa na akaweka misimamo huo msululu utamsumbua aje? Mambo mengine wanawake huyataka wenyewe kama anapewa ofa za misosi, lifti ya gari akitoka na kwenda kazini soon utachapiwa tu. Nakushauri mwambie mkeo aache mazoea ya kipuuzi na hao watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimevurugwa sana..

Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.

Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.

Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu, kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)

Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.

Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?

Inawezekana kweli wanamtongoza, ila kwa asilimia kubwa mwanamke anayesema yote hayo kwako kuna uwezekano mkubwa analiwa nje (sio lazima na hao anaokuonyesha text zake); mwanamke mwenye akili hawezi sema haya kwa mme wake
 
Back
Top Bottom