Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

mwambie amruhusu boss lini wapange waende hotel pia siku hiyo akufahamishe na wewe kila step kodiisha mijitu konk konk konk masta uwafumanie chumbani mfanyehuyo boss mpige picha mpelekee mkewe na ingine kaibadike offisini kwake kwenye notice board

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiambiwa hivyo unadanganywa, usiseme kuwa anakwambia kila kitu sio kweli! Akikuambia ujue hajampenda, wale ambao anawapa Huwa Hawasemi au hawataji Kamwe! Utaonyeshwa meseji Feki, calls Feki, hadi nanihii Feki lakini zile zenye uhalisia hutakaa uzione.

The way forward, relax, tafuta pesa, jenga maisha yako! Usipende kudanganywa!! Ukija kuujua ukweli utaumia Sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
natamani niwe boss

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lugha ya mwili ya mkeo inasababisha atongozeke kiurahisi, na hii ni hatari sana mzee baba, kwa kifupi mkeo yupo hivyo( anaingilika), sio kosa lake anapaswa kusaidiwa ni sababu ya mazingira , makuzi na malezi yake aliyopitia

Mfundishe na msaidie abadili lugha ya mwili wake inayojumuisha jinsi anavyofikiri, mawazo, hisia, muonekano, mwendo wake na hata mavazi pamoja na anavyowasiliana na wenzake( mawasiliano ya mwili wake kwa wenzake) na zaidi lazima aishi na kuwajibika kama mke wa mtu anayejiheshimu, akiwa ana msimamo hatasumbuliwa.

Pia kwepa na epuka kuingilia mawasiliano na bosi wake itakuletea stress sana hatimaye utakufa kwa presha bure ila umwambie yeye ndiye anapaswa kuwajibika kwa kuwa na udhaifu wa kuingilika kiurahisi na sio wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba uyo mkeo ni mwanamke, na mwanamke sifa yake ni kwamba hawezi kutongozwa na wanaume kumi wenye sifa tofauti tofauti akawakataa wote, lazima kuna mmoja atapewa tu. Leo hii anatongozwa na wasiomvutia anakusimulia, kesho akitongozwa na atakae mvutia hatokwambia, atavuliwa chupi kimya kimya. Kiukweli uyo mkeo ipo siku atakanyagwa tu hapo ofisini kwao, hawez kuwakataa wote. Jiandae kuona mabadiliko hivi punde.
 
Simba vs swalla atakimbia weeeh siku atanasa tu kwa mdomo[emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mtafutie bos wahuni wamrekodi wakimfira then itumie hiyo kumblackmail kesi itakuwa imeisha
 
Lugha ya mwili ya mkeo inasababisha atongozeke kiurahisi, na hii ni hatari sana mzee baba, kwa kifupi mkeo yupo hivyo( anaingilika), sio kosa lake anapaswa kusaidiwa ni sababu ya mazingira , makuzi na malezi yake aliyopitia

Mfundishe na msaidie abadili lugha ya mwili wake inayojumuisha jinsi anavyofikiri, mawazo, hisia, muonekano, mwendo wake na hata mavazi pamoja na anavyowasiliana na wenzake( mawasiliano ya mwili wake kwa wenzake) na zaidi lazima aishi na kuwajibika kama mke wa mtu anayejiheshimu, akiwa ana msimamo hatasumbuliwa.

Pia kwepa na epuka kuingilia mawasiliano na bosi wake itakuletea stress sana hatimaye utakufa kwa presha bure ila umwambie yeye ndiye anapaswa kuwajibika kwa kuwa na udhaifu wa kuingilika kiurahisi na sio wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana,amwambie ajiweke kama make aone kama atatongozwa ovyo.watongozaji huwa wanangalia pa kuanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza si jambo Jena mkeo kukuambia wanaomtongoza kwani Mara nyingi yeye ndio chanzo,huwezi kuwa na mke aliyesiriazi harafu ukutane na habari hizi,kiufupi mwambie aache kujichekesha chekesha kwa wanaume pili so vyema kwa mwanamke kupenda kupokea of a za wanaume,kumbuka hakuna msaada usiokuwa na lengo.akiepuka hayo watu wote watamheshimu,inaonekana mkeo hajiheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom