Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Mzee si umeowa ili msaidiane maisha?!subiri hivyo hivyo atasaidia sana hata ile nyumba yenu iliyoishia kwenye linter mwaka huu mwezi wa sita hauishi mtakuwa mmeshahamia.
Mnashindana na nature,Mungu alikupa wewe mwanaume mamlaka ya kutafuta ridhiki ya familia mkeo azae na kulea watoto kwa kuwasimamia kwa ukaribu ila ukaona hapana ngoja anisaidie maisha.shuhuda zinazotolewa humu kuhusu wake za watu maofisini usifikiri ni za kutunga,ni kweli wanatoa sana ngono kwa stuff wenzao na hata ukimpiga marufuku asikwambie huyo ni mkeo lazima roho itakuwa inakuuma ni sawa na kutibu headache kwa kukata kichwa chenyewe.
Mke afanye kazi utakayompa wewe,mfungulie mradi atakaousimamia yeye mwenyewe hakuna ukaribu wa mwanamke na mwanaume utakaowaacha salama.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk