Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

Kavutie bangi chooni, nenda kwa huyo boss mchane, mwambie aachane na mke wako rasi ivyo utamgeuza butcher haraka iwezekanavyo[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawezaaa hivo nawezaaa, nachohofia familia yangu kuiteketeza [emoji41]
"Nyumba anayoishi ni Mali ya shirika ataenda ishi wapi bosi akisha kasirika?"

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
"Nyumba anayoishi ni Mali ya shirika ataenda ishi wapi bosi akisha kasirika?"

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kwema mama mzazi, shkamo kwanza [emoji39]
 
Kazi asiache Wala Nini maana kazi zenyewe ngumu siku hizi,mkuu tafuta alternative ya kudeal na huyo Boss.Kuwa Boss ndio atafune wake za watu,huyo Boss Ni cheo,Mungu anayomamlaka ya kuondoa hicho then atabaki mtu wa kawaida tu.
Kama anasumbua Sana huyo mke wako fanya maombi maalumu kwa Mungu ili Mungu achukue hicho cheo halafu Kama atamsumbua mke wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi sema hvyo kwa maan hujui kama kampuni ni yake .
Mfungulie biashara huwezi mwache akaliwe maana ni bora aliwe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo anataka mwenyewe kutongozwa kwani akikataa na akaweka misimamo huo msululu utamsumbua aje? Mambo mengine wanawake huyataka wenyewe kama anapewa ofa za misosi, lifti ya gari akitoka na kwenda kazini soon utachapiwa tu. Nakushauri mwambie mkeo aache mazoea ya kipuuzi na hao watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahis alimshagonga.
 
Achana na comments zote, huyu hapa ndo kakueleza ukweli na anawafahamu vizur wanawake
Nasema hivi kwasababu mimi pia ni mwanamke tena mrembo ninafanya kazi taasisi kubwa yenye wanaume wengi. Huyo mkeo lazima ni mtu wa kujichekesha chekesha kwa wanaume, anapenda ofa za wanaume, atention seeker n.k.

Kiukweli mke wangu hajichekeshi sio kama namtetea hapana,tatizo lake ni mzuri sanaaa anamvuto wa kipekee sana,pale kazini kwao yeye ni mzuri kushinda wafanyakazi wenzake wote
 
Siku boss akifanikiwa kugusisha gegedo na papuchi hatakwambia. Inaelekea una mke bomba sana boss anataka kumvua picchu, njembas za ofisini zinamsarandia 😋😋😋 picha please!

Nimevurugwa sana..

Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.

Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.

Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu, kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)

Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.

Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?

Wanaume wenzangu mnaishije na wake zenu walio ajiriwa sehemu mbalimbali,mnakutana na changamoto zipi kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom