Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

Ndgu kwa kweli kazi unayo. Akiwa anakuambia means anakupenda pale akiacha kukuambia jua kuna sehemu umefnya mistake
Solution kama unaweza mfungulia business afnye cha muhimu wote mpate kipato hapo sio mbaya sana.
Kukuambia ina maana anaheshimu mahusiiano yenu na yupo radhi kuwa na wewe milele. So be careful. Hold her to the end . She is worth living for

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani , kitu ganiii??[emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Siku ile uliponipigia simu, sasa pale kwenye kutaja jina lako sasa [emoji39]
Ulikuwa unasema hivi 'naitwa cute b'
sasa nikawa siisikii vizuri hiyo 'cute b' [emoji23]
wewe nae ukawa umekaza kuirudia mara mbili mbili ni 'cute b, cute b' [emoji23] [emoji23]
ha ha ha, kwakweli mpaka unakata simu, nilikuwa sijaelewa ulikuwa unasema nini, maana ile sauti ni tamu mno kuisikia [emoji39]
yote simu ilikuwa ina rekodi, kwahiyo huwa narudia kusikiliza mala nyingi nafurahi tu [emoji39]
 
Nimevurugwa sana..

Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.

Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.

Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu, kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)

Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.

Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?

Wanaume wenzangu mnaishije na wake zenu walio ajiriwa sehemu mbalimbali,mnakutana na changamoto zipi kwenye ndoa
Ukweli ni kwamba sisi wanaume tunamfuata mtu pale unapoona panaingilika. Sehemu ngumu wanaenda wabishi wachache tu. Kama mwanamke kiiila mwanaume kazini anamtongoza basi ni kitu anapenda. Ama ameruhusu mazoea ambayo siyo. Na hata anavyokua anakuambia ni kitu anapenda. Sisemi kuwa anatoa hapana, bali kisaikolojia ile kufuatwafuatwa ni kitu anapenda. Its her pride. Na vitu hivyo akiendekeza kuliwa ni lazima. Maana kila binadamu ana udhaifu wake ndo maana tunaaswa mambo hayo tuyakimbie sio tupigane nayo.

Aisee mwanamke aliye serious na ndoa yake hawezi jiweka mazingira ya kuzoewazoewa hivyo. Nimeona hapa kazini wanawake wazuri sana na huwezi kwenda kumtongoza akakuacha salama. Mkuu mkeo hayuko serious. Na akiendelea hivyo utaendalea kuhesabu manyoya tu!

Kazi zetu hizi. Unaeza haribu kazi kiasi cha ukikomaliwa na bosi unafungwa na si kufukuzwa kazi tu! Unaniambia akichungulia shimo kama hilo hatoi mzigo????
 
Siku ile uliponipigia simu, sasa pale kwenye kutaja jina lako sasa [emoji39]
Ulikuwa unasema hivi 'naitwa cute b'
sasa nikawa siisikii vizuri hiyo 'cute b' [emoji23]
wewe nae ukawa umekaza kuirudia mara mbili mbili ni 'cute b, cute b' [emoji23] [emoji23]
ha ha ha, kwakweli mpaka unakata simu, nilikuwa sijaelewa ulikuwa unasema nini, maana ile sauti ni tamu mno kuisikia [emoji39]
yote simu ilikuwa ina rekodi, kwahiyo huwa narudia kusikiliza mala nyingi nafurahi tu [emoji39]
[emoji23][emoji23]kaoneeee. Nisikukamate.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Anakuambia ili siku ukijua anamegwa usishtuke sana..huyo kashamegwa tayar,..asilimia 85 ya wanawake ukiona anakuambia kua watu wanamtongoza ujue wanamla saana,anakwambia hvyo ili ujue jua yeye analipa so usimchukulie poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mke wangu hajawahi kukutana na hizo changamoto,ila kwa ushauri muwekee mtego wa Polisi huyo Bosi wake akishanaswa ndio utakuwa mwisho wa huyo mtu ingawa kuzuia kutongozwa huwezi kuzuia,na kwa kuwa ni Bosi ina maana huyo anataka kutumia cheo chake kula mali za watu,.Kuhusu mkeo kukwambia jinsi anavyotongozwa sioni ubaya,hii inakufanya uwe more alert na wanyemeleaji,ukumbuke huyo ni mkeo na sio hawara kwahiyo the more unavyomuachia bila ya kujua maisha yake ukumbuke ndio inavyokuwa rahisi wajanja kukuzidi akili,tukubali au tusikubali wenzetu hawa kudanganyawa na vitu vizuri vizuri ni rahisi sana,hapo kwenye vitu vizuri usifikirie kwenye vile vidogo vidogo kama laki moja/laki mbili,simu,perfume n.k.kuna vishawishi mtu anahonga mpaka nyumba ili ataembee tu na mke wa mtu...
Mkuu kwani nawewe huwa unaambiwa na shemeji kama kuna simba wanamvizia
Nilikuwa naambiwa ivo zamani lakini kumbe alikua ananiteka akili ana show zake uko viwanja vya ugenini, anafanya vile ili akuaminishe....Mwanamke ni wa kuishi nae kwa akili sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom