Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

Mnaomshauri amwachishe kazi , je akiwa mama wa nyumbani ndo hatatongozwa?
Bado atamwambia jirani kanitaka!
Tatizo ni yeye anavyojiweka na mkao wake !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah yani namuonea huruma kweli jamaa hizi ndoa ni changamoto kweli

Juzi juzi tena kuna video imevuja mdada anagongwa dukani huko k/koo kidume kinaenda mida ya jioni kumgonga jamaa yake akatonywa na jamaa wa pale kuwa kuna kijeba huwa kinakuja jioni jioni jamaa si akatega kamera lijamaa kama kawa likaenda likanaswa na camera yani hivi viumbe ni shida sana hata jalalani wanagongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!!

Mungu apishe mbali haya mambo siyo ya mchezo mchezo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Huyo mwanamke ni muongo tena mnafiki mkubwa!
Halafu yeye mkao wake ndo unaopelekea kutongozwa hovyo huko kazini kwake!
Atakuwa anawachekeachekea au anaji expose kwa wanaume!
Wakati mwingine huwa siyo rahisi mwanaume kumtongoza mwanamke, vinginevyo mwanamke mwenyewe awe amejirahishisha kutongozwa!
Huyo hajatulia anakutahadharisha siku ukija kuambiwa uchukulie kuwa alishakwambia Ila aliwakataa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa ninavyo mfahamu mkewangu yupo na standard sana kuhusu kutongozwa sisi wanaume huwa hatuogopi hata mwanamke awaje..
Mbona tunawapa mimba hawa wanawake vichaa wasiojielewa kwamba hawa vichaa wanajitongozesha kwetu?
 
Kwa lugha nyepesi hapa inatakiwa nimuachishe kazi mke wangu atulie nyumbani,ni bora nimfungulie ofisi yeye awe boss kuliko kuwa chini ya watu.. Mfano pale kazini kwao wafanya kazi wenzake anawamudu vizuri sana,
Utata unakuja kwa huyu boss ambae amefikia hatua ya kutaka kutumia cheo chake[/QUOTE]

Duh, You are missing point, big time!
Kwa hiyo unataka kumuachisha kazi mkeo kwasababu anatongozwa kazini? Tambua kwamba suala sio kutongozwa (Kwasababu kutongozwa mbona ni kawaida sana kwa wanawake!) na wala haijalishi anatongozwa na nani. Suala muhimu hapa ni kwamba akitongozwa mwitikio wake ukoje anapotongozwa!? Anakubali au anakataa na anakataaje!? Atatoa ishara au matumaini gani kwa anayemtongoza. Hata ukimwachisha kazi na kufungulia biashara kwani ndio hatatongozwa? Je, akitongozwa kwenye biashara uliyomfungulia, utafunga biashara? Kutongozwa kwa mwanamke haikwepeki, ila ana respond vipi anapotongozwa.

Imarisha ndoa yako maana bado changa, na mkeo anahitaji sana hekima, busara na msaada wako. Mpatie. Mpende mkeo kwa dhati, usimpe mashaka, imarisha mawasiliano kati yenu na muunge mkono kwa kila hali. Upendo na uimara wa ndoa yako, ukaribu na ushirikiano wa wewe na mkeo ndio silaha ya hicho unachokiogopa. Ukiwa na 'silaha' hiyo, mkeo atakuwa na furaha, amani, upendo na kujiamini na hata atokee 'bosi' gani wa kumtongoza ataweza kukabili changamoto hiyo bila kubabaika.
Nakuhakikishia, ndoa yako ikiwa dhaifu (Hakuna upendo, amani wala fulaha) au anahisi kwamba humpatii msaada au ushirikiano anapokuhitaji.... haihitaji 'bosi' kumtongoza,..... hata muuza genge au boda boda atampitia.

Imarisha ndoa yako
 
Kwa ninavyo mfahamu mkewangu yupo na standard sana kuhusu kutongozwa sisi wanaume huwa hatuogopi hata mwanamke awaje..
Mbona tunawapa mimba hawa wanawake vichaa wasiojielewa kwamba hawa vichaa wanajitongozesha kwetu?

Kitu kingine inategemea na ofisi anayofanya kazi iko na hadhi gani!
Kuna ofisi kama sekta binafsi mfano kampuni za ulinzi binafsi wana hiyo michezo sana!
Na akiwakatalia watamuachisha kazi ndivyo walivyo!
Yeye yuko sekta gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa lugha nyepesi hapa inatakiwa nimuachishe kazi mke wangu atulie nyumbani,ni bora nimfungulie ofisi yeye awe boss kuliko kuwa chini ya watu.. Mfano pale kazini kwao wafanya kazi wenzake anawamudu vizuri sana,
Utata unakuja kwa huyu boss ambae amefikia hatua ya kutaka kutumia cheo chake

Duh, You are missing point, big time!
Kwa hiyo unataka kumuachisha kazi mkeo kwasababu anatongozwa kazini? Tambua kwamba suala sio kutongozwa (Kwasababu kutongozwa mbona ni kawaida sana kwa wanawake!) na wala haijalishi anatongozwa na nani. Suala muhimu hapa ni kwamba akitongozwa mwitikio wake ukoje anapotongozwa!? Anakubali au anakataa na anakataaje!? Atatoa ishara au matumaini gani kwa anayemtongoza. Hata ukimwachisha kazi na kufungulia biashara kwani ndio hatatongozwa? Je, akitongozwa kwenye biashara uliyomfungulia, utafunga biashara? Kutongozwa kwa mwanamke haikwepeki, ila ana respond vipi anapotongozwa.

Imarisha ndoa yako maana bado changa, na mkeo anahitaji sana hekima, busara na msaada wako. Mpatie. Mpende mkeo kwa dhati, usimpe mashaka, imarisha mawasiliano kati yenu na muunge mkono kwa kila hali. Upendo na uimara wa ndoa yako, ukaribu na ushirikiano wa wewe na mkeo ndio silaha ya hicho unachokiogopa. Ukiwa na 'silaha' hiyo, mkeo atakuwa na furaha, amani, upendo na kujiamini na hata atokee 'bosi' gani wa kumtongoza ataweza kukabili changamoto hiyo bila kubabaika.
Nakuhakikishia, ndoa yako ikiwa dhaifu (Hakuna upendo, amani wala fulaha) au anahisi kwamba humpatii msaada au ushirikiano anapokuhitaji.... haihitaji 'bosi' kumtongoza,..... hata muuza genge au boda boda atampitia.

Imarisha ndoa yako[/QUOTE]

Kuna wakati inatakiwa ufungie vifaranga wako ndani kutokana na vurugu za mwewe angani
Kwakweli ndoa yangu bado ni changa na hizii changamoto nazani zipo dani ya uwezo wetu tutazimudu.
Nashukuru sana kwa mchango wako
 
Mimi mke wangu hajawahi kukutana na hizo changamoto,ila kwa ushauri muwekee mtego wa Polisi huyo Bosi wake akishanaswa ndio utakuwa mwisho wa huyo mtu ingawa kuzuia kutongozwa huwezi kuzuia,na kwa kuwa ni Bosi ina maana huyo anataka kutumia cheo chake kula mali za watu,.Kuhusu mkeo kukwambia jinsi anavyotongozwa sioni ubaya,hii inakufanya uwe more alert na wanyemeleaji,ukumbuke huyo ni mkeo na sio hawara kwahiyo the more unavyomuachia bila ya kujua maisha yake ukumbuke ndio inavyokuwa rahisi wajanja kukuzidi akili,tukubali au tusikubali wenzetu hawa kudanganyawa na vitu vizuri vizuri ni rahisi sana,hapo kwenye vitu vizuri usifikirie kwenye vile vidogo vidogo kama laki moja/laki mbili,simu,perfume n.k.kuna vishawishi mtu anahonga mpaka nyumba ili ataembee tu na mke wa mtu...
 
Nimevurugwa sana..

Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.

Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.

Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu, kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)

Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.

Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?

Wanaume wenzangu mnaishije na wake zenu walio ajiriwa sehemu mbalimbali,mnakutana na changamoto zipi kwenye ndoa
Hebu tupia kiwili wili cha mkeo ili tujue tabu unazopata afu nikushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha ya mwili ya mkeo inasababisha atongozeke kiurahisi, na hii ni hatari sana mzee baba, kwa kifupi mkeo yupo hivyo( anaingilika), sio kosa lake anapaswa kusaidiwa ni sababu ya mazingira , makuzi na malezi yake aliyopitia

Mfundishe na msaidie abadili lugha ya mwili wake inayojumuisha jinsi anavyofikiri, mawazo, hisia, muonekano, mwendo wake na hata mavazi pamoja na anavyowasiliana na wenzake( mawasiliano ya mwili wake kwa wenzake) na zaidi lazima aishi na kuwajibika kama mke wa mtu anayejiheshimu, akiwa ana msimamo hatasumbuliwa.

Pia kwepa na epuka kuingilia mawasiliano na bosi wake itakuletea stress sana hatimaye utakufa kwa presha bure ila umwambie yeye ndiye anapaswa kuwajibika kwa kuwa na udhaifu wa kuingilika kiurahisi na sio wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Achana na comments zote, huyu hapa ndo kakueleza ukweli na anawafahamu vizur wanawake
Nasema hivi kwasababu mimi pia ni mwanamke tena mrembo ninafanya kazi taasisi kubwa yenye wanaume wengi. Huyo mkeo lazima ni mtu wa kujichekesha chekesha kwa wanaume, anapenda ofa za wanaume, atention seeker n.k.
 
Mzee si umeowa ili msaidiane maisha?!subiri hivyo hivyo atasaidia sana hata ile nyumba yenu iliyoishia kwenye linter mwaka huu mwezi wa sita hauishi mtakuwa mmeshahamia.

Mnashindana na nature,Mungu alikupa wewe mwanaume mamlaka ya kutafuta ridhiki ya familia mkeo azae na kulea watoto kwa kuwasimamia kwa ukaribu ila ukaona hapana ngoja anisaidie maisha.shuhuda zinazotolewa humu kuhusu wake za watu maofisini usifikiri ni za kutunga,ni kweli wanatoa sana ngono kwa stuff wenzao na hata ukimpiga marufuku asikwambie huyo ni mkeo lazima roho itakuwa inakuuma ni sawa na kutibu headache kwa kukata kichwa chenyewe.

Mke afanye kazi utakayompa endewewe,mfungulie mradi atakaousimamia yeye mwenyewe hakuna ukaribu wa mwanamke na mwanaume utakaowaacha salama.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Endelea kujidanganya mkuu, hata kama anashinda nyumbani siku mzima atatongozwa tu.alokwambia huko kwenye mradi hakuna wanaume nani?, au wanaotongoza ni mabosi pekee.
Tena kwa akili ya huyo mke wa mleta uzi hata muuza maji atamtongoza .mwanamke mwenye busara unayejiweka katika hali ya standards huwezi tongozwa na kila mwanaume , na hata ukitogozwa si busara kumwambia mme wako
 
Utakufa kwa presha mkuu bora asikuambie kabisa. Huenda kuna mengine anakuficha uwezi kujua anakupima upepo ili hali washadukua mali yako.
mkuu yani hilo nalipa lina % kubwa sana ijapokuwa inaweza kuwa ni kweli anahitaji msaada wa haraka katika hayo
 
Mpaka anakuambia hivyo kuna mambo mawili. La kwanza amezidiwa na hapo anataka ruhusa yako aachie mapaja. Mbona wengine hakuambii. ni kwamba anawamudu huyo amemshindwa coz ni Boss wake. Hivyo anaogopa kuachishwa kazi kama atamnyima.

Jambo la pili. Huenda ameshaliwa anachokifanya ni kujihami kwa kukupa indirect message ili siku ukimfumania au kusikia habari hiyo usishtuke.

Mwisho huenda kuwa ni trick ya kuboost wivu wako ili uendelee kumpenda
 
Achana na comments zote, huyu hapa ndo kakueleza ukweli na anawafahamu vizur wanawake
Nasema hivi kwasababu mimi pia ni mwanamke tena mrembo ninafanya kazi taasisi kubwa yenye wanaume wengi. Huyo mkeo lazima ni mtu wa kujichekesha chekesha kwa wanaume, anapenda ofa za wanaume, atention seeker n.k.
Labda huna chura mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mke wa jamaa itakuwa mzurii afu takooo hilooo watu wanataka walionjeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimkataza kukwambia atajua humthamini na utakuwa umemruhusu aliwe.
Inawezekana pia anakwambia anaowakataa tu.

Kikubwa muondoe kazini mpe mtaji akafanye mengine

Shida haijirudii
 
Back
Top Bottom