aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
ha ha ha! wewe jamaa bwana, eti mkate kidevu.kweli kabisa mistari yake inafurahisha, Juma nature kakazana ferooz unaniudhiii mkate kidevu huyoo😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha! wewe jamaa bwana, eti mkate kidevu.kweli kabisa mistari yake inafurahisha, Juma nature kakazana ferooz unaniudhiii mkate kidevu huyoo😀😀
😀😀, mimi ni mdada bana lakiniha ha ha! wewe jamaa bwana, eti mkate kidevu.
Nilikuwa naambiwa ivo zamani lakini kumbe alikua ananiteka akili ana show zake uko viwanja vya ugenini, anafanya vile ili akuaminishe....Mwanamke ni wa kuishi nae kwa akili sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuambia ili siku ukijua anamegwa usishtuke sana..huyo kashamegwa tayar,..asilimia 85 ya wanawake ukiona anakuambia kua watu wanamtongoza ujue wanamla saana,anakwambia hvyo ili ujue jua yeye analipa so usimchukulie poa
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha! kumbe wewe ni mdada [emoji39]😀😀, mimi ni mdada bana lakini
Wewe Kijana huioni njia ya kuondokana na umaskini? ?Hebu tangaza thamani ya hiyo namba raia wapande dau.Nitafurahi sana mama, sauti yako tu mwanao nakuwa hoi [emoji39]
Nimevurugwa sana..
Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.
Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.
Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu, kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)
Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.
Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?
Wanaume wenzangu mnaishije na wake zenu walio ajiriwa sehemu mbalimbali,mnakutana na changamoto zipi kwenye ndoa
Mkuu ukisikiliza huu wimbo mpaka mwisho utapata majibu
Mambo yanayomhusu mkeo hata mama yako usimwambie. Wanawake ndio wanaosemaga mambo yao mpaka ya chumbani. Hata kama mkeo hajui kupika chapati au mashine yake inawalakini usije ukamwambia mtu. Labda daktari.Wewe mwenye akili kubwa unanishauri kitu gani
na wewe bwana mungu na kutongozana wapi na wapiiii..Kazi asiache Wala Nini maana kazi zenyewe ngumu siku hizi,mkuu tafuta alternative ya kudeal na huyo Boss.Kuwa Boss ndio atafune wake za watu,huyo Boss Ni cheo,Mungu anayomamlaka ya kuondoa hicho then atabaki mtu wa kawaida tu.
Kama anasumbua Sana huyo mke wako fanya maombi maalumu kwa Mungu ili Mungu achukue hicho cheo halafu Kama atamsumbua mke wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi KABISA mkuu, huyo naye mke wake naye anayataka....Mkeo anataka mwenyewe kutongozwa kwani akikataa na akaweka misimamo huo msululu utamsumbua aje? Mambo mengine wanawake huyataka wenyewe kama anapewa ofa za misosi, lifti ya gari akitoka na kwenda kazini soon utachapiwa tu. Nakushauri mwambie mkeo aache mazoea ya kipuuzi na hao watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba sisi wanaume tunamfuata mtu pale unapoona panaingilika. Sehemu ngumu wanaenda wabishi wachache tu. Kama mwanamke kiiila mwanaume kazini anamtongoza basi ni kitu anapenda. Ama ameruhusu mazoea ambayo siyo. Na hata anavyokua anakuambia ni kitu anapenda. Sisemi kuwa anatoa hapana, bali kisaikolojia ile kufuatwafuatwa ni kitu anapenda. Its her pride. Na vitu hivyo akiendekeza kuliwa ni lazima. Maana kila binadamu ana udhaifu wake ndo maana tunaaswa mambo hayo tuyakimbie sio tupigane nayo.
Aisee mwanamke aliye serious na ndoa yake hawezi jiweka mazingira ya kuzoewazoewa hivyo. Nimeona hapa kazini wanawake wazuri sana na huwezi kwenda kumtongoza akakuacha salama. Mkuu mkeo hayuko serious. Na akiendelea hivyo utaendalea kuhesabu manyoya tu!
Kazi zetu hizi. Unaeza haribu kazi kiasi cha ukikomaliwa na bosi unafungwa na si kufukuzwa kazi tu! Unaniambia akichungulia shimo kama hilo hatoi mzigo????
Uko sahihi KABISA mkuu, huyo naye mke wake naye anayataka....
KWELI Kama hapendi na hataki angewajibu harsh/kwaukari na angeacha kuwajibu kilaani/diplomasia yaAni ansema NO huku text/smu zao anajibu, lunch zao anakula,lift anapanda, vizinga anawapiga, anawakonyeza na kuwarembulia............
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yanayomhusu mkeo hata mama yako usimwambie. Wanawake ndio wanaosemaga mambo yao mpaka ya chumbani. Hata kama mkeo hajui kupika chapati au mashine yake inawalakini usije ukamwambia mtu. Labda daktari.
Ushasikia mwanamme anakuambia Mkewe mtamu au akuambie usiku wa jana walifanya kitu gani. Hayasemwi hayo mkuu
Making you understand your problem is one way of helping you solve it.Toeni ushauri wakuu nini kifanyike? acheni kulaumu ndugu zangu