Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?


Wanawake wana maisha magumu sana wanawindwa usiku ns mchana haijalishi awe mkali awe mpole
 
Wanawake wajanja sana, mwambie asimamie msimamo wake, kuwa makini sana na mke wako, hakikisha una mkaza haswa, akianza hizo story pigs mzigo haswa... Atawaona wale nzi wa chooni

Mzigo anapata wa uhakika ndio mana anakuwa huru kusema yale yanayo mtatiza,ntamsaidia kuongeza umakini
 
Wanawake wana maisha magumu sana wanawindwa usiku ns mchana haijalishi awe mkali awe mpole
Sikatai lakini Mwanamke anaejielewaa anakataa huku anaonyesha sura ya kukataa kweli na kukasirikaa.. Sasa anakataa huku anajichekeshaa mamaaee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani mwana haachi kumtongozaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona simple tu kwanza mwambie mkewako wote wanao msumbua sana awapige gia ya kupima ukimwi hapo tu watapungua zaidi ya nusu maana wanaume wenye uchu kupita kiasi wengi ni wagonjwa wa ngoma Pili walio baki wewe ujidai kufuma SMS zao kwenye Simu ya mkeo uwakolomee wote wanapotea ila kwenye la kupima HIV ilo mwambie mkeo akazie sana hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wana maisha magumu sana wanawindwa usiku ns mchana haijalishi awe mkali awe mpole
Mbona simple tu kwanza mwambie mkewako wote wanao msumbua sana awapige gia ya kupima ukimwi hapo tu watapungua zaidi ya nusu maana wanaume wenye uchu kupita kiasi wengi ni wagonjwa wa ngoma Pili walio baki wewe ujidai kufuma SMS zao kwenye Simu ya mkeo uwakolomee wote wanapotea ila kwenye la kupima HIV ilo mwambie mkeo akazie sana wengi watamuogopa wakisikia mambo ya kupima ngoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu, mwambie mkeo awe mkali kwa hizo tabia za kipuuzi, na cha zaidi siku akitongozwa tena amwambie huyo boss wake kuwa, “anamu harass kimapenzi kwa sababu ya cheo chake na pia atambue kuwa ameolewa na asingependa hiyo tabia iendelee na yote kuwa unafahamu hilo” na siyo boss tuu hata hao wafanyakazi wenzake

La sivyo siku ukintibua kidogo kwa akili za wanawake wengi atmpa boss kukukomoa
 

Ushauri mnono naufanyia kazi
 

Nikiwatafuta kwenye simu ntakua kama nimewapa nguvu zaidi ya kutimiza lengo lao....labda nitengeneze fumanizi ili kama noma iwe noma tu
 
nakazia hapo nilipokoleza
 
Mkuu iliishiaje hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…