Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,139
unazeeka vibaya mkuu, shame on you.Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Criminals are ganging..Na Thadei Ole Mushi.
Nimeisoma Barua ya Msando yote aliyowaandikia USA.
1. Achana na Makosa ya Address aliyoyafanya Brother Msando twende kwenye Hoja nyingine za barua ya Msando. Kwenye barua ile kuanzia mwanzo Hadi Mwisho Msando kaonyesha kuwa hata Marekani huwa wanavunja haki za binadamu. Msando anataka kutuaminisha kuwa Marekani leo wakiamua Kula Kinyesi na sisi ni sawa kukila. Hakuna mahali ambapo Msando kaweza kusema Kama ni kweli haki za Binadamu zinavunjwa ama lah!... Kwa kifupi Msando anatuambia kuwa ni Kweli tumekiuka haki za Binadamu simply kwa kuwa Marekani nao wanazivunja.
2. Issue za Kidiplomasia hujibiwa Kidiplomasia na hupitia Chanel ambazo ni sahihi. Kilichofanywa na Msando ni kutaka kufurahisha watawala lakini akumbuke kuwa barua yake inazidi kuzorotesha uhusiano wetu na Marekani. Mh Kabudi sio mjinga kutafakari, Serikali kwa ujumla sio wajinga kutokumjibu Pompeo, wanatafakari kwa namna gani wanaweza kusulihisha mgogoro huu wa Kidiplomasia. Fani hii ya Diplomasia watu huisomea huwezi kukurupuka tu from no where mtu individual ambaye Hana taaluma hiyo kuanza kutuhumu mataifa Mengine. Kwa bahati mbaya kabisa barua ile copy yake ameielekeza kwa Rais wetu. Msando Hana tofauti na vijana waliovamia ubalozi wa S.A kudai Bombadia.
3. Msando naye kaingia kwenye Makosa yale yale kuwa naye anatetea ukiukwaji wa haki za Binadamu. Kwa maana hiyo Msando Siku akiwa Kiongozi hawezi kutuwakilisha Tena Marekani pamoja na washirika wake.
4. Serikali na hasa Rais hahitaji utetezi Sana anachohitaji ni Solutions, tunatetea Sana badala ya kutoa solutions. Barua ya Msando haitoweza kuitisha Marekani na Wala Marekani haitobadili msimamo kwa sababu ya barua ya Msando. Kwa maana hiyo bado tatizo linabaki na linaweza kukuzwa kwa barua hii ya Msando. Tumepoteza uwezo wa kutoa Solutions kwa sababu ya kusaka madaraka na Vyeo.
5. Kuna kasumba imeibuka kuwa ili uwe mzalendo Kila Jambo la Serikali ni la kutetea, nchi hii haiwezi kujengwa kwa kutetea makosa, nchi hii itajengwa kwa kuyaondoa makosa, kuambiana ukweli kuwa hili hapana lile sawa.
Wahenga walisema "two wrongs don't make a right". Narudi Jalalani..
Ole Mushi
0712702602
Hiyo ya giggy huwa naiskia juu kwa juu, weka kiclip mzee baba
Chochote wanachokublackmail nacho must be huge!!Kwenye mitaala ya shule zetu tangu primary hadi chuo Kikuu, tunapaswa tuwe na mtaala wa uzalendo ili Tanzania tuzalishe wasomi wazalendo badala ya kuzalisha wasomi mamluki.
P
Msando ni opportunist !! Anatafuta namna ya kutoka kama yule DC wa Tunduru Mtatiro ila bahati mbaya amechelewa. Sasa huvi Bashite anayemtetea kwenye hayo makaratasi aliyoyaelekeza American Embassy, hana ushawishi kwa Jiwe wa kumpatia mtu kazi.Na Thadei Ole Mushi.
Nimeisoma Barua ya Msando yote aliyowaandikia USA.
1. Achana na Makosa ya Address aliyoyafanya Brother Msando twende kwenye Hoja nyingine za barua ya Msando. Kwenye barua ile kuanzia mwanzo Hadi Mwisho Msando kaonyesha kuwa hata Marekani huwa wanavunja haki za binadamu. Msando anataka kutuaminisha kuwa Marekani leo wakiamua Kula Kinyesi na sisi ni sawa kukila. Hakuna mahali ambapo Msando kaweza kusema Kama ni kweli haki za Binadamu zinavunjwa ama lah!... Kwa kifupi Msando anatuambia kuwa ni Kweli tumekiuka haki za Binadamu simply kwa kuwa Marekani nao wanazivunja.
2. Issue za Kidiplomasia hujibiwa Kidiplomasia na hupitia Chanel ambazo ni sahihi. Kilichofanywa na Msando ni kutaka kufurahisha watawala lakini akumbuke kuwa barua yake inazidi kuzorotesha uhusiano wetu na Marekani. Mh Kabudi sio mjinga kutafakari, Serikali kwa ujumla sio wajinga kutokumjibu Pompeo, wanatafakari kwa namna gani wanaweza kusulihisha mgogoro huu wa Kidiplomasia. Fani hii ya Diplomasia watu huisomea huwezi kukurupuka tu from no where mtu individual ambaye Hana taaluma hiyo kuanza kutuhumu mataifa Mengine. Kwa bahati mbaya kabisa barua ile copy yake ameielekeza kwa Rais wetu. Msando Hana tofauti na vijana waliovamia ubalozi wa S.A kudai Bombadia.
3. Msando naye kaingia kwenye Makosa yale yale kuwa naye anatetea ukiukwaji wa haki za Binadamu. Kwa maana hiyo Msando Siku akiwa Kiongozi hawezi kutuwakilisha Tena Marekani pamoja na washirika wake.
4. Serikali na hasa Rais hahitaji utetezi Sana anachohitaji ni Solutions, tunatetea Sana badala ya kutoa solutions. Barua ya Msando haitoweza kuitisha Marekani na Wala Marekani haitobadili msimamo kwa sababu ya barua ya Msando. Kwa maana hiyo bado tatizo linabaki na linaweza kukuzwa kwa barua hii ya Msando. Tumepoteza uwezo wa kutoa Solutions kwa sababu ya kusaka madaraka na Vyeo.
5. Kuna kasumba imeibuka kuwa ili uwe mzalendo Kila Jambo la Serikali ni la kutetea, nchi hii haiwezi kujengwa kwa kutetea makosa, nchi hii itajengwa kwa kuyaondoa makosa, kuambiana ukweli kuwa hili hapana lile sawa.
Wahenga walisema "two wrongs don't make a right". Narudi Jalalani..
Ole Mushi
0712702602
The despicable folly of your insubstantial condescension lies in the grotesque oversimplification that any rebuttal on Msando's harangues is borne of lack of knowledge of that non-phonetic mishmash of a potpourri of an illogical kaleidoscope of Indo-Europen languages you call English.
Uzalendo siyo kutetea Rais bali ni kutetea masilahi ya Nchi. Serikali zinakuja na kutoka kama tulivyoona kuanzia Awamu ya Nyerere, then Mwinyi, Mkapa halafu Kikwette then huyu tulipe naye.Kwenye mitaala ya shule zetu tangu primary hadi chuo Kikuu, tunapaswa tuwe na mtaala wa uzalendo ili Tanzania tuzalishe wasomi wazalendo badala ya kuzalisha wasomi mamluki.
P
Amejibu nini? Tuhuma dhidi ya Makonda, alizotumiwa na Ndg.Pompeo amezijibu...Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Hivi uhuru wa kutoa maoni mnautafsiri vipi? Msando katoa maoni yake. Yawe sahihi au la ni maoni yake.Na Thadei Ole Mushi.
Nimeisoma Barua ya Msando yote aliyowaandikia USA.
1. Achana na Makosa ya Address aliyoyafanya Brother Msando twende kwenye Hoja nyingine za barua ya Msando. Kwenye barua ile kuanzia mwanzo Hadi Mwisho Msando kaonyesha kuwa hata Marekani huwa wanavunja haki za binadamu. Msando anataka kutuaminisha kuwa Marekani leo wakiamua Kula Kinyesi na sisi ni sawa kukila. Hakuna mahali ambapo Msando kaweza kusema Kama ni kweli haki za Binadamu zinavunjwa ama lah!... Kwa kifupi Msando anatuambia kuwa ni Kweli tumekiuka haki za Binadamu simply kwa kuwa Marekani nao wanazivunja.
2. Issue za Kidiplomasia hujibiwa Kidiplomasia na hupitia Chanel ambazo ni sahihi. Kilichofanywa na Msando ni kutaka kufurahisha watawala lakini akumbuke kuwa barua yake inazidi kuzorotesha uhusiano wetu na Marekani. Mh Kabudi sio mjinga kutafakari, Serikali kwa ujumla sio wajinga kutokumjibu Pompeo, wanatafakari kwa namna gani wanaweza kusulihisha mgogoro huu wa Kidiplomasia. Fani hii ya Diplomasia watu huisomea huwezi kukurupuka tu from no where mtu individual ambaye Hana taaluma hiyo kuanza kutuhumu mataifa Mengine. Kwa bahati mbaya kabisa barua ile copy yake ameielekeza kwa Rais wetu. Msando Hana tofauti na vijana waliovamia ubalozi wa S.A kudai Bombadia.
3. Msando naye kaingia kwenye Makosa yale yale kuwa naye anatetea ukiukwaji wa haki za Binadamu. Kwa maana hiyo Msando Siku akiwa Kiongozi hawezi kutuwakilisha Tena Marekani pamoja na washirika wake.
4. Serikali na hasa Rais hahitaji utetezi Sana anachohitaji ni Solutions, tunatetea Sana badala ya kutoa solutions. Barua ya Msando haitoweza kuitisha Marekani na Wala Marekani haitobadili msimamo kwa sababu ya barua ya Msando. Kwa maana hiyo bado tatizo linabaki na linaweza kukuzwa kwa barua hii ya Msando. Tumepoteza uwezo wa kutoa Solutions kwa sababu ya kusaka madaraka na Vyeo.
5. Kuna kasumba imeibuka kuwa ili uwe mzalendo Kila Jambo la Serikali ni la kutetea, nchi hii haiwezi kujengwa kwa kutetea makosa, nchi hii itajengwa kwa kuyaondoa makosa, kuambiana ukweli kuwa hili hapana lile sawa.
Wahenga walisema "two wrongs don't make a right". Narudi Jalalani..
Ole Mushi
0712702602
Vivyohivyo huzuiwi kutofautiana na maoni ya ndg, MsandoHivi uhuru wa kutoa maoni mnautafsiri vipi? Msando katoa maoni yake. Yawe sahihi au la ni maoni yake.
Kama mwananchi, unajibu vipi kitu ambacho hujawa addressed nacho.? Tena ukiwa mwanasheria kabisa.Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Basi sawa. Lakini akiongea Lissu na mashoga wa Ulaya na Marekani, huyo ni kamanda! Akiongea Msando, hajui!! Mi nakuunga mkono kabisa!!!
Hiyo ni kama protesting letter, ni sawa kabisa, kuna njia nyingi za kufanya protesting, kuandamana, kubeba mabango, kuandika barua, kusimama mbele ya yule anayekutendea isivyo, kuchoma picha ya yule mlengwa kupinga anachokufanyia, hivyo mwanasheria msomi yuko sahihi kabisa, kupeleka ujumbe kwa njia ya barua kwamba USA wanachofanya siyo sahihi kabisa, mbona Rwanda, Uganda, Saudi Arabia ambako hakuna demokrasis na mauaji ni kila siku hakuna zuio kama hilo, nenda South America, Mexico ambako kila siku zaidi ya watu 100 wanauwawa kila siku hakuna katazo kwa viongozi wake. Kuna tofauti gani kati ya Zitto na Snowden snitch wa kimarekani ambaye kapata amnesty uko Russia, Snowden leo hii akitia mguu USA siku ya pili ni kitanzi tu au life in prison. JPM kukata minyororo ya wizi kwa kushirikiana na hawa wezi weusi ndiyo imeleta shida yote hiyo. Kila siku hawa wezi weusi wanapeleka matako yao uko kwa mabwana zao kuleta tafaruku kwenye jamii. USA hana urafiki wa kudumu yeye ni personal interest tu, hizo interest zikiisha hakuna tena urafiki unakuwa adui. Hivyo akina Zitto, Membe, Nyalandu, Lissu, na wengine ambao wako undercover USA haitawasadia kama ambavyo wanaamini.Na Thadei Ole Mushi.
Nimeisoma Barua ya Msando yote aliyowaandikia USA.
1. Achana na Makosa ya Address aliyoyafanya Brother Msando twende kwenye Hoja nyingine za barua ya Msando. Kwenye barua ile kuanzia mwanzo Hadi Mwisho Msando kaonyesha kuwa hata Marekani huwa wanavunja haki za binadamu. Msando anataka kutuaminisha kuwa Marekani leo wakiamua Kula Kinyesi na sisi ni sawa kukila. Hakuna mahali ambapo Msando kaweza kusema Kama ni kweli haki za Binadamu zinavunjwa ama lah!... Kwa kifupi Msando anatuambia kuwa ni Kweli tumekiuka haki za Binadamu simply kwa kuwa Marekani nao wanazivunja.
2. Issue za Kidiplomasia hujibiwa Kidiplomasia na hupitia Chanel ambazo ni sahihi. Kilichofanywa na Msando ni kutaka kufurahisha watawala lakini akumbuke kuwa barua yake inazidi kuzorotesha uhusiano wetu na Marekani. Mh Kabudi sio mjinga kutafakari, Serikali kwa ujumla sio wajinga kutokumjibu Pompeo, wanatafakari kwa namna gani wanaweza kusulihisha mgogoro huu wa Kidiplomasia. Fani hii ya Diplomasia watu huisomea huwezi kukurupuka tu from no where mtu individual ambaye Hana taaluma hiyo kuanza kutuhumu mataifa Mengine. Kwa bahati mbaya kabisa barua ile copy yake ameielekeza kwa Rais wetu. Msando Hana tofauti na vijana waliovamia ubalozi wa S.A kudai Bombadia.
3. Msando naye kaingia kwenye Makosa yale yale kuwa naye anatetea ukiukwaji wa haki za Binadamu. Kwa maana hiyo Msando Siku akiwa Kiongozi hawezi kutuwakilisha Tena Marekani pamoja na washirika wake.
4. Serikali na hasa Rais hahitaji utetezi Sana anachohitaji ni Solutions, tunatetea Sana badala ya kutoa solutions. Barua ya Msando haitoweza kuitisha Marekani na Wala Marekani haitobadili msimamo kwa sababu ya barua ya Msando. Kwa maana hiyo bado tatizo linabaki na linaweza kukuzwa kwa barua hii ya Msando. Tumepoteza uwezo wa kutoa Solutions kwa sababu ya kusaka madaraka na Vyeo.
5. Kuna kasumba imeibuka kuwa ili uwe mzalendo Kila Jambo la Serikali ni la kutetea, nchi hii haiwezi kujengwa kwa kutetea makosa, nchi hii itajengwa kwa kuyaondoa makosa, kuambiana ukweli kuwa hili hapana lile sawa.
Wahenga walisema "two wrongs don't make a right". Narudi Jalalani..
Ole Mushi
0712702602
Ngoja asubiri Drone kutoka US direct mpaka huko aliko ndio atajua US sio Tz na CIA sio Tiss.Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Nchi nzima ameprotest msando Tu??Hiyo ni kama protesting letter, ni sawa kabisa, kuna njia nyingi za kufanya protesting, kuandamana, kubeba mabango, kuandika barua, kusimama mbele ya yule anayekutendea isivyo, kuchoma picha ya yule mlengwa kupinga anachokufanyia, hivyo mwanasheria msomi yuko sahihi kabisa, kupeleka ujumbe kwa njia ya barua kwamba USA wanachofanya siyo sahihi kabisa, mbona Rwanda, Uganda, Saudi Arabia ambako hakuna demokrasis na mauaji ni kila siku hakuna zuio kama hilo, nenda South America, Mexico ambako kila siku zaidi ya watu 100 wanauwawa kila siku hakuna katazo kwa viongozi wake. Kuna tofauti gani kati ya Zitto na Snowden snitch wa kimarekani ambaye kapata amnesty uko Russia, Snowden leo hii akitia mguu USA siku ya pili ni kitanzi tu au life in prison. JPM kukata minyororo ya wizi kwa kushirikiana na hawa wezi weusi ndiyo imeleta shida yote hiyo. Kila siku hawa wezi weusi wanapeleka matako yao uko kwa mabwana zao kuleta tafaruku kwenye jamii. USA hana urafiki wa kudumu yeye ni personal interest tu, hizo interest zikiisha hakuna tena urafiki unakuwa adui. Hivyo akina Zitto, Membe, Nyalandu, Lissu, na wengine ambao wako undercover USA haitawasadia kama ambavyo wanaamini.