Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Kwa hiyo ameijibu serikali ya US kwa niaba ya nani? Kwa nini asiandike mawazo yake kwenye mitandao ya jamii kuliko kuandika barua rasmi kama mtu anayeisemea serikali?
Hivi kama ni uzalendo na sisi wote tukawa tumeguswa sasa tunaamua kumwandikia huyo "American Embassy" na nakala kwa Rais Magufuli sii wanaweza kupokea zaidi ya barua milioni 20?
Kipara kachemka, kama katumwa au kafikiri mwenyewe bado ni ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Mh Benjamin Mkapa asinge kubali upumbavu wa Msando kwanza Aliyetoa tamko ni Head of State department (nje) msando kwa upumbavu anawajibu ubalozi wakati tamko limetoka DC,pia yeye simtumishi wa serikali katika idara yoyote ya mahusiano ya kidiplomasia kisa ccm nakujikomba au rafiki wa RC huu ujinga umepitiliza ngoja nisikie kabudi atasemaje!au watamuwajibisha??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msando na kale kakipara kake arudi tu kuchezea papa la Gigi Money..
 
Hakuna nembo lakini contents zitasomwa ubalozini Shehe. Ndo mana juzi wale wapuuzi wa ccm pale DODOMA wakaacha kujadili hoja za Zzto wakajadili karatasi iliyotumika kuandikia hizo contents. Leo wewe unasema ameandika kama mtu binafsi.mbona ZZTO Kaenda kama mtu binafsi lakini mnataka Lumia akirudi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Zitto ametumia karatasi za bunge akimaanisha kama alichokiandika kinaridhaa ya bunge. Angetaka kuandika kama mtu binafsi, na yeye angetumia karatasi isiyo na nembo ya bunge au nembo ya muhimili wowote nchini.
 
Hoja zake no nzito sana,kavunja

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hoja nzito zozote alizotoa Albert Msando. Hata kama Tanzania ni sovereign state, Paul Makonda hana haki kuondoa uhai wa raia wengine wa Tanzania ambao katiba hiyo hiyo ya Tanzania inautambua. Makonda anaua watu halafu Serikali inakuwa kimya. This is not fair.

Fact kuwa USA nayo inavunja sheria kwa kuua wananchi wake haina mashiko kwa vile makosa mawili haya sababishi sahihi moja (Two wrongs do not make one right)
 
Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Na wewe Pascal hebu jiulize Waziri mwenye dhamana na mambo ya nje yuko kimya,Balozi wetu marekani yupo kimya unadhani wameshindwa kujibu au sio wazalendo? Hili suala sio la ccm na chadema ,Msiwaudhi Wakubwa kwa kutafuta sifa ,Wahusika Serikalini wanajua nini cha kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto ametumia karatasi za bunge akimaanisha kama alichokiandika kinaridhaa ya bunge. Angetaka kuandika kama mtu binafsi, na yeye angetumia karatasi isiyo na nembo ya bunge au nembo ya muhimili wowote nchini.
Kila Mbunge ana right ya kutumia official Bunge letter head kwenye every official communications.
P
 
Wakili huyo katia aibu na grammar kama vile hajasoma, angeandika kiswahili chetu tu.
 
Na wewe Pascal hebu jiulize Waziri mwenye dhamana na mambo ya nje yuko kimya,Balozi wetu marekani yupo kimya unadhani wameshindwa kujibu au sio wazalendo? Hili suala sio la ccm na chadema ,Msiwaudhi Wakubwa kwa kutafuta sifa ,Wahusika Serikalini wanajua nini cha kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote wanasubiria official communique kutoka US, under the freedom of expression, mtu yoyote unaweza kumuandikia mtu yoyote duniani kuhusu jambo lolote na ukawacopy watu wowote.
P.
 
Kila mtu ana namna yake kuonyesha uzalendo wake kwa nchi yake. Mimi kwa vile ni member wa jf, uzalendo wangu ni kwa kuchangia humu jf kizalendo.
P

Na.kweli, ila sasa hivi ni ngumu sana kutenganisha uzalendo na ujinga.
 
Kwani kuna nembo ya serikali kwenye barua yake?

Chadema mnatuaibisha.
Anaaibisha msando, kwa sababu kwa barua kitu ambacho wao wamarekani hawajaandika barua, uliona wapi doc.ya twitter inajibiwa kwa barua, angeenda huko huko angemjibu Pompeo
 
Kwenye mitaala ya shule zetu tangu primary hadi chuo Kikuu, tunapaswa tuwe na mtaala wa uzalendo ili Tanzania tuzalishe wasomi wazalendo badala ya kuzalisha wasomi mamluki.
P
Hivi uzalendo ni nini? Kwa tafsiri halisi ya kiswahil na sio kwa tafsiri ya sasa ya utawala wa magufuli ambayo kwa sasa uzalendo ni kutete kila kitu cha awamu ya tano hata kama ni ujinga au uvunjifu wa haki za wengine ila lengo ni kumfurahisha mzalendo namba moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom