Je, ni sahihi mwanaume kulala bila nguo kabisa?

Je, ni sahihi mwanaume kulala bila nguo kabisa?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakuu,

Hivi mnaona ni sawa kwa mwanaume kulala bila nguo kabisa? Yaani bila hata bukta wala boxer

Ikitokea dharura usiku utafanyaje? majambazi wamevamia au moto una waka.

Mi naona mwanaume anatakiwa awe anavaa boxer, bukta na jeans kabisa ili kujiepusha hii itasaidia kujiepusha hatari kubwa kuliko zote ya kuingiliwa na popo bawa
 
Unatakiwa uwe na angle unaweka nguo zako za dharura tuu!!

Likitokea tukio usiku sio uanze kupekua, ni kuchukua na kuvaa na kutoka nje au kupambana.

Balaa ni kwa wale wenye ndoto za kuamka na kutembea usiku!! Unaweza kujikuta kwa Hausigelo upo uchi hahahaaa
 
Ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakuu,

Hivi mnaona ni sawa kwa mwanaume kulala bila nguo kabisa? Yaani bila hata bukta wala boxer

Ikitokea dharura usiku utafanyaje? majambazi wamevamia au moto una waka.

Mi naona mwanaume anatakiwa awe anavaa boxer, bukta na jeans kabisa ili kujiepusha hii itasaidia kujiepusha hatari kubwa kuliko zote ya kuingiliwa na popo bawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana
 
Mi najionea sio sahihi. Hivi mwanaume unaanzaje kulala uchi wa mnyama. Mmh.

Pole yao sababu kiuhalisia dharura huwa ipo na haina hodi hivyo kulala uchi halafu dharura ikatokea huo ndio unakuwaga mwanzo wa kudharaulika na watu wa karibu ikiwemo na majirani hasa pale utakapojitokea ukiwa uchi.

Ila mvaage hata vibukta vyepesi basi.
 
Ni nzuri kiafyaaa, mbaya kiusalama. Korodani zinatakiwa zipate hewa ya kutosha, kutokana na pirika nyingi za mchana na joto jingi, usiku unashauriwa ulale uchi ili zipumue, sema at your risk maana unaweza uwatamanishe wale jamaa wa routes za usiku wakatembea na fursa.
 
Back
Top Bottom