BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Daaah kuna popobawa apate japo shida kidogo ya kukuvua
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahahahah working mood activated
Nisahihi kuna raha yake tena kubwa sanaAjiri mlinzi au fuga mbwa kama unaogopa majambazi...ila kulala uchi kuna raha yake.
Nikiwa ugenini ndo nalala na nguo ikibidi
Uko sahihi mkuu.Ajiri mlinzi au fuga mbwa kama unaogopa majambazi...ila kulala uchi kuna raha yake.
Nikiwa ugenini ndo nalala na nguo ikibidi
Ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unatakiwa uwe na angle unaweka nguo zako za dharura tuu!!
Likitokea tukio usiku sio uanze kupekua, ni kuchukua na kuvaa na kutoka nje au kupambana.
Balaa ni kwa wale wenye ndoto za kuamka na kutembea usiku!! Unaweza kujikuta kwa Hausigelo upo uchi hahahaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapanaWakuu,
Hivi mnaona ni sawa kwa mwanaume kulala bila nguo kabisa? Yaani bila hata bukta wala boxer
Ikitokea dharura usiku utafanyaje? majambazi wamevamia au moto una waka.
Mi naona mwanaume anatakiwa awe anavaa boxer, bukta na jeans kabisa ili kujiepusha hii itasaidia kujiepusha hatari kubwa kuliko zote ya kuingiliwa na popo bawa
Mzee mkeo/demu wako flatscreen nini?? Kama umeoa zigo utaelewa maana ya kulala uchi!!Ulale uchi kabisa unataka ugundue nini?