Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

Mbona sura haina uoga hii
hakuna anayejua anajiamini nini, maana ni hasira tu naona zilimjaa miaka
Na kesi yake ngumu mpaka leo, licha ya kuachiwa mara ya kwanza naona kuna kitu kipo nyuma ya picha nzima kwani wati wa Mirerani walisema yao ambayo hayana ukweli au kweli sheria ifuate mkondo, km nii kichaa akapimwe
Mbona hawajasema kwamba bilionea alikuwa anatembea na mama yake na dada yake labda mke wake alitaka kulipiza kisasi je?
bilionea apumzike panapomstahili!
ila sasa watoto wa Arusha msianze matusi.
Cc: s
 
Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upya
Hata kama alimpa sheria za mirathi haziwezi kupindishwa. Hapo mimi naona vita ni kati ya mke na watoto/ndugu zake vs wazazi na watoto/ndugu zao. Huyu DC sijui anaingiliaje kufanya uamuzi wa mambo ambayo tayari yana sheria zinazoyasimamia! Angeteuliwa mtu mzima mwenye busara anayekubalika pande zote awe msimamizi wa mirathi. Na hili likitokea sana sana wenye kuambulia chochote ni mke, watoto na wazazi wa marehemu. Hii kesi watu wakianza kuingiza vingepengele eti ''wazazi walimpa kitu fulani''' au dada zake walikuwa wanamsaidia kufanya bla bla bla'' haitaisha. Sheria ifuatwe.
 
 
Walipewa kienyeji? Kama aliacha wosia ngazi ya kwanza ilikuwa ni kufungua mirathi mahakamani na msimamizi ateuliwe ndiyo wagawane? Kama walipeana kienyeji ndipo shida ilipoanzia.
 

Ndo hivo ni wa kambo. Ila ukiwa na hela utakaribiwa na marafiki wengi kwa Nia ya kusaidia na washauri wengi kumbe ni walafi.
 
Ukiona sura zao tu wamekaa kiuchuuchuuuu wa mali

Ova
 
Umenikumbusha mbali sana kipindi mdogo nililetewa vitabu vya hadithi za biblia vya picha na hii picha na story yake ilikuwepo.Daah
 
QUOTE="tweenty4seven, post: 33251071, member: 172460"]
Sawa mjomba mana unanawiri na pesa za marehemu lazima nawe ni bi mdogo wa erasto,njaa zitawaua mnapambana iwe yenu

sasa hasira za nini, na unachokitetea hakijulikani kwanini upinge maamuzi ya Mkuu wa Wilaya,
WATOTO NA MAMA YAO NDIO WARITHI MALI ZA BABA YAO
Mimi sio Mpare na Erasto utajiri wake wewe unaoujua,wala hakuupata kwa Baba yake ni mapigo yake na wanaApollo kama kachuma janga mwache achume na wanawe na mkewe na ni kutoka mgodi wa Tanzanite One
naona mmekodiwa kuja kumtengenezea Babu ulaji, ungefika hapo Zaire au Cairo miaka ile ndio ungejua uyasemayo na uninja wa familia hiyo kwani hata huyo Miriam Mrita alijifunza kila kitu kutoaka kwa matendo ya mumewe
Ndio maana yupo Jela[/QUOTE]Mimi namjua marehemu kitambo sana mawe ya lemakoo ndio yalimtoa kimaisha na kuanza kujulikana,tuache hayo dc hii kesi itamshinda na kurudi mahakamani,wapare ni wapenda kesi sana upande wa mke kusimamia mali sio kawaida.
Na upande wa erasto hawatakubali busara inabidi itumike na ukiangalia kwenye kikao cha dc ni malumbano tu kila mmoja anaona anahaki
 
We mkuu, huwa mchambuzi mzuri Sana

Salute[emoji122][emoji122]
 
jamaa yangu wala sikupingi na nakubaliana na wewe kabisa kuwa Kes hii ni ngumu, maana Wapare ni wabishi kupindukia
Nafahamu unawafahamu na hata Kesi zote za hawa Wathuya umezifuatilia kuanzia 2013 kwa Erasto na Miriam Mbazi (huya naye ana asili ya Msuya).
Kwa uchunguzi wa kawaida kwanini nakubaliana na wewe ni kuwa Mke wa Erasto (Miriam Mbazi) alishinda Kesi hii mara ya kwanza kwa Serikali kutokuwa na ushahidi pasina shaka kuwa Miriam alimkata koromeo Aneth
Refer kesi ya Zombe, Bageni na wale matajiri kina Chigumbi Zombe kaachiwa huru ingawa yeye ndiye aliyewanyang'anya begi la vito na kuagiza Bageni akawamalize Mabwe-pande.
Miriam alichora mauaji akamtumma kidume kwa 20m, na ndio maelezo ya Miriam mpaka mwisho
Mtoto wa Aneth aliyekuwa kapuliziwa madawa usoni hakujua kilichotokea hadi kuzinduka, lakini alisema ni watu wa4 wamevaa mask waliuvunja mlango kwa Mama (na chooni)
Yule kidume hajawataja hao wa4 km na yeye alikuwepo hivyo PASINA SHAKA Miriam hajatumia mkono wake (km Zombe) na hakuwepo kwenye tukio (km Bageni) sasa ni wapi utamuungaisha kuwa kauwa, acha wamtafute muuaji halisi (Kesi ya kina Bageni aliyefyatua risasi walimtorosha na aliyeshuhudi mwingine alifia Muhimbili)
Sasa Miriam ni wapi kahusika kwa mkono wake, ndio maana nimeomba Hukumu km imetoka mahali kwani tangu Julai waliahirisha, hivyo bado ni Msimamizi halali (hata Ruge wa VIP anaendesha Makampuni yake akiwa Jela)
Hivyo Miriam yupo Jela na ni mwenye mali, msimamizi na mrithi wa mali za mume (labda anyongwe lkn sio kwa Kesi hii kashinda mara moja tayari) Hapo ndio unapoona hasira za wathuya mpaka kumfunga Kelvin na hawataishia hapo
(Nimtumia reference ya Bageni kwani ipo humu nisichukuliwe naingilia mambo ya wapare p.se ni ndoto zangu acheni Mkuu wa wilaya aamue)
 
Najaribu kuunganisha ..bila shaka wewe ni kaka wa mariamu.
 
Najaribu kuunganisha ..bila shaka wewe ni kaka wa mariamu.
sawa Afande Kaweesi lakini mm sio mpare, maana kwa kesi hii mpaka mtafilisika kwa kupambana wenyewe kwa wenyewe, Kesi ni pesa, Kurithi ni Haki yake Miriam km Mke wa Erasto
 
Nimekusoma mkuu ila hii kesi imekaa kama ila ya sharifu ngoja tuone mahakama itatoa hukumu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…