jamaa yangu wala sikupingi na nakubaliana na wewe kabisa kuwa Kes hii ni ngumu, maana Wapare ni wabishi kupindukia
Nafahamu unawafahamu na hata Kesi zote za hawa Wathuya umezifuatilia kuanzia 2013 kwa Erasto na Miriam Mbazi (huya naye ana asili ya Msuya).
Kwa uchunguzi wa kawaida kwanini nakubaliana na wewe ni kuwa Mke wa Erasto (Miriam Mbazi) alishinda Kesi hii mara ya kwanza kwa Serikali kutokuwa na ushahidi pasina shaka kuwa Miriam alimkata koromeo Aneth
Refer kesi ya Zombe, Bageni na wale matajiri kina Chigumbi Zombe kaachiwa huru ingawa yeye ndiye aliyewanyang'anya begi la vito na kuagiza Bageni akawamalize Mabwe-pande.
Miriam alichora mauaji akamtumma kidume kwa 20m, na ndio maelezo ya Miriam mpaka mwisho
Mtoto wa Aneth aliyekuwa kapuliziwa madawa usoni hakujua kilichotokea hadi kuzinduka, lakini alisema ni watu wa4 wamevaa mask waliuvunja mlango kwa Mama (na chooni)
Yule kidume hajawataja hao wa4 km na yeye alikuwepo hivyo PASINA SHAKA Miriam hajatumia mkono wake (km Zombe) na hakuwepo kwenye tukio (km Bageni) sasa ni wapi utamuungaisha kuwa kauwa, acha wamtafute muuaji halisi (Kesi ya kina Bageni aliyefyatua risasi walimtorosha na aliyeshuhudi mwingine alifia Muhimbili)
Sasa Miriam ni wapi kahusika kwa mkono wake, ndio maana nimeomba Hukumu km imetoka mahali kwani tangu Julai waliahirisha, hivyo bado ni Msimamizi halali (hata Ruge wa VIP anaendesha Makampuni yake akiwa Jela)
Hivyo Miriam yupo Jela na ni mwenye mali, msimamizi na mrithi wa mali za mume (labda anyongwe lkn sio kwa Kesi hii kashinda mara moja tayari) Hapo ndio unapoona hasira za wathuya mpaka kumfunga Kelvin na hawataishia hapo
(Nimtumia reference ya Bageni kwani ipo humu nisichukuliwe naingilia mambo ya wapare p.se ni ndoto zangu acheni Mkuu wa wilaya aamue)
KWANINI BAGENI AMENYONGWA PEKE YAKE KATI YA WATU 13 ALIOSHITAKIWA NAO ?. Na Bashir Yakub +255 784 482 959. Walioshitakiwa walikuwa 13, SP Christopher Bageni, ACP Abdallah Zombe, ASP Ahmed Makele, PC Noel Leornard, WP 4593 Jane Andrew, CPL Nyangerela Moris, PC Michael Shonza, CPL Abeneth...
www.jamiiforums.com