Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

Mbona sura haina uoga hii
hakuna anayejua anajiamini nini, maana ni hasira tu naona zilimjaa miaka
Na kesi yake ngumu mpaka leo, licha ya kuachiwa mara ya kwanza naona kuna kitu kipo nyuma ya picha nzima kwani wati wa Mirerani walisema yao ambayo hayana ukweli au kweli sheria ifuate mkondo, km nii kichaa akapimwe
Mbona hawajasema kwamba bilionea alikuwa anatembea na mama yake na dada yake labda mke wake alitaka kulipiza kisasi je?
bilionea apumzike panapomstahili!
ila sasa watoto wa Arusha msianze matusi.
Cc: s
 
Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upya
Hata kama alimpa sheria za mirathi haziwezi kupindishwa. Hapo mimi naona vita ni kati ya mke na watoto/ndugu zake vs wazazi na watoto/ndugu zao. Huyu DC sijui anaingiliaje kufanya uamuzi wa mambo ambayo tayari yana sheria zinazoyasimamia! Angeteuliwa mtu mzima mwenye busara anayekubalika pande zote awe msimamizi wa mirathi. Na hili likitokea sana sana wenye kuambulia chochote ni mke, watoto na wazazi wa marehemu. Hii kesi watu wakianza kuingiza vingepengele eti ''wazazi walimpa kitu fulani''' au dada zake walikuwa wanamsaidia kufanya bla bla bla'' haitaisha. Sheria ifuatwe.
 
Mimi nakumbuka geah habib alienda huko kigamboni sijui kama sikosei ndoa alikokua akiishi Anet ndo kuwahoji majirani wanasema mtoto aliamka asubui alijikuta sebleni akiwa amelala hapo ni kama walimuwekea dawa za usingizi kwa hyo anaamka ili aende shule anenda kwa mama ake anagonga mlango haufunguki wala mama haitikii kumbuka hapo mdada wa kazi kaondoka tuu siku moja nyuma so wapo wawili. Ndo mtt kuangalia chini ya mlango anaona damu zilizoganda kutokea ndani zimetiririka ndo akafungua geti kwenda kuwaita majirani. Ndo polis kuja na kumtoa mama ake akiwa amechinjwa. So dogo picha ipo kichwani kwake.
 
Siwezi kua na jibu la moja kwa moja kwa sababu Mara nyingi kwenye ugomvi wa kugombea mali za marehemu kila mmoja anavutia kwake.

Ila kwa hii ishu kikubwa kinachogombewa hapo ni usimamizi wa mirathi baada ya msimamizi mkuu ambaye ni mke wa marehemu kutoa power of attorney kwa kaka yake. Ambapo ndugu wa marehemu inaonekana hawajaridhika.

Lakini ukumbuke kua inasemekana marehemu aliacha usia kwamba asilimia 40 ya pesa zake wapewe wazazi wake na dada zake kitu ambacho inasemekana mke wa marehemu alishakitimiza. Kwenye mgao huo baba na mama wa marehemu walipata shilingi million 200 kila mmoja na dada wa marehemu around 75mil kila mmoja.
Sasa kama wana haki au hawana ya kuendelea kupigania mali za ndugu yao sisi hayatuhusu tuachie mamlaka na vikao vya familia vitaamua.
Walipewa kienyeji? Kama aliacha wosia ngazi ya kwanza ilikuwa ni kufungua mirathi mahakamani na msimamizi ateuliwe ndiyo wagawane? Kama walipeana kienyeji ndipo shida ilipoanzia.
 
Kumbe Glory ni binti wa kambo [emoji24]sasa nimeelewa zaidi! Tatizo hao watoto wasipopata usimamizi mzuri kwa Sasa wakifikisha miaka ya kina sisi tutakutana nao wamepigika sana maana hapo kwa Sasa wajomba wanawanyonyaaa na hiyo mentality yao kwamba mama yao atatoka huko jela ndo itawacost, watajifilisiiii

Ndo hivo ni wa kambo. Ila ukiwa na hela utakaribiwa na marafiki wengi kwa Nia ya kusaidia na washauri wengi kumbe ni walafi.
 
kwa jinsi familia ya akina msuya wanavyoonesha uchu wa mali bora mjomba alivyopewa kusimamia mali nadhani kwa miaka sita kusingebaki na mali, mijitu imepewa millions 400 bado imejawa na uchu,nawashangaa mnaosema dogo hajitambui kama ndivyo leo serikali ingeingilia mgogolo wa miaka sita bila dogo kusimama kujenga hoja hadharani.
Ukiona sura zao tu wamekaa kiuchuuchuuuu wa mali

Ova
 
hili tatizo linahitaji busara ya Mungu nalifananisha na tukio la Mfalme Sulemani na wanawake wawili wakigombania mtoto, mfalme akaamua mtoto akatwe wagawane vipande lakini mama halisi akagoma mtoto asikatwe bora yeye akose mtoto apewe mama mwingine...
View attachment 1240827
Umenikumbusha mbali sana kipindi mdogo nililetewa vitabu vya hadithi za biblia vya picha na hii picha na story yake ilikuwepo.Daah
 
QUOTE="tweenty4seven, post: 33251071, member: 172460"]
Sawa mjomba mana unanawiri na pesa za marehemu lazima nawe ni bi mdogo wa erasto,njaa zitawaua mnapambana iwe yenu

sasa hasira za nini, na unachokitetea hakijulikani kwanini upinge maamuzi ya Mkuu wa Wilaya,
WATOTO NA MAMA YAO NDIO WARITHI MALI ZA BABA YAO
Mimi sio Mpare na Erasto utajiri wake wewe unaoujua,wala hakuupata kwa Baba yake ni mapigo yake na wanaApollo kama kachuma janga mwache achume na wanawe na mkewe na ni kutoka mgodi wa Tanzanite One
naona mmekodiwa kuja kumtengenezea Babu ulaji, ungefika hapo Zaire au Cairo miaka ile ndio ungejua uyasemayo na uninja wa familia hiyo kwani hata huyo Miriam Mrita alijifunza kila kitu kutoaka kwa matendo ya mumewe
Ndio maana yupo Jela[/QUOTE]Mimi namjua marehemu kitambo sana mawe ya lemakoo ndio yalimtoa kimaisha na kuanza kujulikana,tuache hayo dc hii kesi itamshinda na kurudi mahakamani,wapare ni wapenda kesi sana upande wa mke kusimamia mali sio kawaida.
Na upande wa erasto hawatakubali busara inabidi itumike na ukiangalia kwenye kikao cha dc ni malumbano tu kila mmoja anaona anahaki
 
Yaani mjomba amejua na kuvaa miwani ya jua, anavaa hata ndani ya ofisi amejua kutingisha funguo za gari, yaani hana aibu kabeba mkewe kwenda kusikiliza akililia mali za shemeji. Yaani alivyo na tamaa unaweza sema nae alishiriki mauaji ya shemeji yake, jamaa kapata na afya. Yule kijana atakuja juta muda si mrefu mjomba atavuta fungu kubwa halafu atajitenga na dogo kwa kisingizio kuwa amechoka malumbano kumbe amepata alicho taka.
We mkuu, huwa mchambuzi mzuri Sana

Salute[emoji122][emoji122]
 
Mimi namjua marehemu kitambo sana mawe ya lemakoo ndio yalimtoa kimaisha na kuanza kujulikana,tuache hayo dc hii kesi itamshinda na kurudi mahakamani,wapare ni wapenda kesi sana upande wa mke kusimamia mali sio kawaida.
Na upande wa erasto hawatakubali busara inabidi itumike na ukiangalia kwenye kikao cha dc ni malumbano tu kila mmoja anaona anahaki
jamaa yangu wala sikupingi na nakubaliana na wewe kabisa kuwa Kes hii ni ngumu, maana Wapare ni wabishi kupindukia
Nafahamu unawafahamu na hata Kesi zote za hawa Wathuya umezifuatilia kuanzia 2013 kwa Erasto na Miriam Mbazi (huya naye ana asili ya Msuya).
Kwa uchunguzi wa kawaida kwanini nakubaliana na wewe ni kuwa Mke wa Erasto (Miriam Mbazi) alishinda Kesi hii mara ya kwanza kwa Serikali kutokuwa na ushahidi pasina shaka kuwa Miriam alimkata koromeo Aneth
Refer kesi ya Zombe, Bageni na wale matajiri kina Chigumbi Zombe kaachiwa huru ingawa yeye ndiye aliyewanyang'anya begi la vito na kuagiza Bageni akawamalize Mabwe-pande.
Miriam alichora mauaji akamtumma kidume kwa 20m, na ndio maelezo ya Miriam mpaka mwisho
Mtoto wa Aneth aliyekuwa kapuliziwa madawa usoni hakujua kilichotokea hadi kuzinduka, lakini alisema ni watu wa4 wamevaa mask waliuvunja mlango kwa Mama (na chooni)
Yule kidume hajawataja hao wa4 km na yeye alikuwepo hivyo PASINA SHAKA Miriam hajatumia mkono wake (km Zombe) na hakuwepo kwenye tukio (km Bageni) sasa ni wapi utamuungaisha kuwa kauwa, acha wamtafute muuaji halisi (Kesi ya kina Bageni aliyefyatua risasi walimtorosha na aliyeshuhudi mwingine alifia Muhimbili)
Sasa Miriam ni wapi kahusika kwa mkono wake, ndio maana nimeomba Hukumu km imetoka mahali kwani tangu Julai waliahirisha, hivyo bado ni Msimamizi halali (hata Ruge wa VIP anaendesha Makampuni yake akiwa Jela)
Hivyo Miriam yupo Jela na ni mwenye mali, msimamizi na mrithi wa mali za mume (labda anyongwe lkn sio kwa Kesi hii kashinda mara moja tayari) Hapo ndio unapoona hasira za wathuya mpaka kumfunga Kelvin na hawataishia hapo
(Nimtumia reference ya Bageni kwani ipo humu nisichukuliwe naingilia mambo ya wapare p.se ni ndoto zangu acheni Mkuu wa wilaya aamue)
 
Najaribu kuunganisha ..bila shaka wewe ni kaka wa mariamu.
 
sawa Afande Kaweesi lakini mm sio mpare, maana kwa kesi hii mpaka mtafilisika kwa kupambana wenyewe kwa wenyewe, Kesi ni pesa, Kurithi ni Haki yake Miriam km Mke wa Erasto
 
jamaa yangu wala sikupingi na nakubaliana na wewe kabisa kuwa Kes hii ni ngumu, maana Wapare ni wabishi kupindukia
Nafahamu unawafahamu na hata Kesi zote za hawa Wathuya umezifuatilia kuanzia 2013 kwa Erasto na Miriam Mbazi (huya naye ana asili ya Msuya).
Kwa uchunguzi wa kawaida kwanini nakubaliana na wewe ni kuwa Mke wa Erasto (Miriam Mbazi) alishinda Kesi hii mara ya kwanza kwa Serikali kutokuwa na ushahidi pasina shaka kuwa Miriam alimkata koromeo Aneth
Refer kesi ya Zombe, Bageni na wale matajiri kina Chigumbi Zombe kaachiwa huru ingawa yeye ndiye aliyewanyang'anya begi la vito na kuagiza Bageni akawamalize Mabwe-pande.
Miriam alichora mauaji akamtumma kidume kwa 20m, na ndio maelezo ya Miriam mpaka mwisho
Mtoto wa Aneth aliyekuwa kapuliziwa madawa usoni hakujua kilichotokea hadi kuzinduka, lakini alisema ni watu wa4 wamevaa mask waliuvunja mlango kwa Mama (na chooni)
Yule kidume hajawataja hao wa4 km na yeye alikuwepo hivyo PASINA SHAKA Miriam hajatumia mkono wake (km Zombe) na hakuwepo kwenye tukio (km Bageni) sasa ni wapi utamuungaisha kuwa kauwa, acha wamtafute muuaji halisi (Kesi ya kina Bageni aliyefyatua risasi walimtorosha na aliyeshuhudi mwingine alifia Muhimbili)
Sasa Miriam ni wapi kahusika kwa mkono wake, ndio maana nimeomba Hukumu km imetoka mahali kwani tangu Julai waliahirisha, hivyo bado ni Msimamizi halali (hata Ruge wa VIP anaendesha Makampuni yake akiwa Jela)
Hivyo Miriam yupo Jela na ni mwenye mali, msimamizi na mrithi wa mali za mume (labda anyongwe lkn sio kwa Kesi hii kashinda mara moja tayari) Hapo ndio unapoona hasira za wathuya mpaka kumfunga Kelvin na hawataishia hapo
(Nimtumia reference ya Bageni kwani ipo humu nisichukuliwe naingilia mambo ya wapare p.se ni ndoto zangu acheni Mkuu wa wilaya aamue)
Nimekusoma mkuu ila hii kesi imekaa kama ila ya sharifu ngoja tuone mahakama itatoa hukumu gani
 
Back
Top Bottom