Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali


Mjomba kelvin katafute vyakoooo Huko kwa bwa shemeji sio kwakoo. Uwe japo na haya. Povuuuu kubwa kwa Mali za shemejio. Hataki wanawe wagawiwe kila mtu atoke n chake kwa kuwa ushamuweka kelvin kiganjani unataka asimamie Mali zote yeye pekee ufaidi. Halafu Miriam alishakiri ni muuaji acha atumikie dhambi zake.[/QUOTE]Neno zito sana
 

Mjomba kelvin katafute vyakoooo Huko kwa bwa shemeji sio kwakoo. Uwe japo na haya. Povuuuu kubwa kwa Mali za shemejio. Hataki wanawe wagawiwe kila mtu atoke n chake kwa kuwa ushamuweka kelvin kiganjani unataka asimamie Mali zote yeye pekee ufaidi. Halafu Miriam alishakiri ni muuaji acha atumikie dhambi zake.[/QUOTE]Neno zito sana
 
Tatizo la hao warita ni umaskini, huyo mjomba alikuwa choka mbaya kaja anafuja pesa kwa kisingizio cha kutafuta mawakili kumtoa dada ake, mara atake pesa za kuhonga sijui kina nani dada ake atoke kumbe nyingoi anajinufaisha yeye amemrudisha mtoto kutoka masomoni ili iwe rahisi kumpa maeno kuwa anataka amtoe mama ake jela, juzi kwa mkuu wa wilaya walikuja ukoo mzima, mojomba kaja na mkewe, kaja mjomba mwingine kaja mama mdogo na mumewe kaja mtoto wa mjomba, wote wanataka mali ya shemeji. Wakati Erasto alipo kuwa hai hawakuwa karibu nae kiasi hicho. Mjiomba amejenga, ananunua nyumba watoto wanakosa chao. Bora mali igawanywe kwa watoto na mama yao apate sehemu yake ili hata yule ambae si wa miriam apate haki yake aendelee na masomo. Mtoto atakae ona anastahili kkusimamiwa na mjomba ampe mjomba sehemu ya mali yake aisimamie., au mke akiona kaka ake ndio msimamizi mzuri ampe sehemu yake asimamie.
 
Sio bure, yawezekana alikuwa anamsaidia dada yake kumtandikia kitanda marehemu Erasto
 
Walifunga nyumba kwa sababu, Erasto amefariki, mkewe yuko magereza, watoto wako shule/vyuoni nyumba ingekaa wazi na mfanyakazi tu? Au ingekaa wazi ili nani aishi huko?
 

Hilo wengi hawalioni. Ila ukoo wa mrita hawana aibuu ndo nlichogundua. Na Kumbe umaskini hupunguza akili.
 
Hilo wengi hawalioni. Ila ukoo wa mrita hawana aibuu ndo nlichogundua. Na Kumbe umaskini hupunguza akili.
Yaani mjomba amejua na kuvaa miwani ya jua, anavaa hata ndani ya ofisi amejua kutingisha funguo za gari, yaani hana aibu kabeba mkewe kwenda kusikiliza akililia mali za shemeji. Yaani alivyo na tamaa unaweza sema nae alishiriki mauaji ya shemeji yake, jamaa kapata na afya. Yule kijana atakuja juta muda si mrefu mjomba atavuta fungu kubwa halafu atajitenga na dogo kwa kisingizio kuwa amechoka malumbano kumbe amepata alicho taka.
 
Hiyo hotel unaifahamu? Kwa biashara ilivyosasa hiyo hotel haiwezi hata kujenda "self"ya kawaida
Kwa kweli wabongo tuache maskhara hiyo hotel naifahamu sana! Ni kweli kwa hali ilivyo sasa si kujenga self tu hata kuje room mbili choo na sebule ni shughuli hamna biashara inayofanyika pale kubwa kiasi hicho kufikia mjomba kuporomosha ghorofa.

Labda uniambie mjomba ameuza mojawapo za aseti za Erasto akaporomosha hilo ghorofa.
 
Amina.
 
sio sahihi unachokiongea mke wa marehemu hakuwa mjinga kumchagua mdogo wake wa kiume kusimamia ukiangalia upande wa kiume wamejaa wanawake wenye akili kama zako za kugawa mali badala ya kusimamia na kuzikuza ili watoto wakiwa wakubwa wafaidi,mimi kwa maelezo yaliyotolewa sijaona tuhuma za wazi zilizoelekezwa kwa walita ila ni wazi wamesimamia vizuri kiasi cha kutotoa nafasi kwa maharamia waliopanga kupoka haki ya watoto
 
Mjomba kageuka Halmashauri Kama hautumi matokeo tunafunga mshahara.Huyo wa Canada akitua Bongo atakuwa upande wa Bibi na Babu sinema bado mbichi.
Hahahaha na huyo alitakiwa atue bongo at anycost ili sinema iwe tamu zaidi
 
N
Sikiliza vizuri hao mashangazi na huyo mjomba na huyo mtoto, utaelewa vizuri! Angalia wapi wanalogic
 
Dogo akiachiwa atauza zote .Mashangazi wanajua zilivyopatikana. Marehemu apumzike kwa amani tu
 
Hawa jamaa mbona wana majina ya kipare? Ni wachaga au wapare?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…