kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
The boy is stupid atajuta sana baadaeNimetazama clips youtube na nimegundua huyo kijana wa marehemu Msuya ni mjinga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The boy is stupid atajuta sana baadaeNimetazama clips youtube na nimegundua huyo kijana wa marehemu Msuya ni mjinga!
Ni kweli kabisa, huyo mtoto ni mkubwa na anatakiwa asimame mwenyeweMiaka 23 anapaswa kusimamia mwenyewe hizo mali, ndio madhara yakulelewa kimayai haya
Tatizo la hao warita ni umaskini, huyo mjomba alikuwa choka mbaya kaja anafuja pesa kwa kisingizio cha kutafuta mawakili kumtoa dada ake, mara atake pesa za kuhonga sijui kina nani dada ake atoke kumbe nyingoi anajinufaisha yeye amemrudisha mtoto kutoka masomoni ili iwe rahisi kumpa maeno kuwa anataka amtoe mama ake jela, juzi kwa mkuu wa wilaya walikuja ukoo mzima, mojomba kaja na mkewe, kaja mjomba mwingine kaja mama mdogo na mumewe kaja mtoto wa mjomba, wote wanataka mali ya shemeji. Wakati Erasto alipo kuwa hai hawakuwa karibu nae kiasi hicho. Mjiomba amejenga, ananunua nyumba watoto wanakosa chao. Bora mali igawanywe kwa watoto na mama yao apate sehemu yake ili hata yule ambae si wa miriam apate haki yake aendelee na masomo. Mtoto atakae ona anastahili kkusimamiwa na mjomba ampe mjomba sehemu ya mali yake aisimamie., au mke akiona kaka ake ndio msimamizi mzuri ampe sehemu yake asimamie.Ww hujaelewa. Sasa kwa nini msuya wasiombe Mali zigaiwe upya kwa wanae wakati mtoto wa kambo wa Miriam hata Ada alinyimwa na mamake wa kambo na huyo mjomba. Kwanza toka lini kaka yangu afe halafu wifi nae awe hayupo halafu watoto na mali wakabidhiwe kwa wajomba wakati ukoo wa baba bado wako hai? Hiyo mila Nadhani wanayo warita walio kosa busara. Hata Kama walikuwa hawana maelewano walikosa kutafuta mzee wa hekima Huko kwa Akina Miriam aje kwa Akina msuya napo atafutwe wa hekima ili wamtafute mtu wa upande wa baba ambaye wanamuona neutral atakayesimama kuwaangalia watoto na Mali wakat mama Yao hayupo au wakati wakisubiri taratibu zingine? Kwa ukoo nilionao siku nimefiwa na mume halafu kuwe na misuguano ukweni halafu nipate matatizo ya kutokuwepo home si baba yangu Wala mama yangu angenikubalia eti kaka yangu ndo awe anakatiza Kordo za hotel za marehem mume wangu atiii ananisaidia kusimamia. Kiuwazi kabisa wenye uchu wa Mali ni warita. Mtu mzima tena wa kiume na akili zako huwezi kuwa busy kwenye Mali za marehemu shemeji tena kwa ubabe eti unamsaidia dada.
Sio bure, yawezekana alikuwa anamsaidia dada yake kumtandikia kitanda marehemu ErastoTatizo la hao warita ni umaskini, huyo mjomba alikuwa choka mbaya kaja anafuja pesa kwa kisingizio cha kutafuta mawakili kumtoa dada ake, mara atake pesa za kuhonga sijui kina nani dada ake atoke kumbe nyingoi anajinufaisha yeye amemrudisha mtoto kutoka masomoni ili iwe rahisi kumpa maeno kuwa anataka amtoe mama ake jela, juzi kwa mkuu wa wilaya walikuja ukoo mzima, mojomba kaja na mkewe, kaja mjomba mwingine kaja mama mdogo na mumewe kaja mtoto wa mjomba, wote wanataka mali ya shemeji. Wakati Erasto alipo kuwa hai hawakuwa karibu nae kiasi hicho. Mjiomba amejenga, ananunua nyumba watoto wanakosa chao. Bora mali igawanywe kwa watoto na mama yao apate sehemu yake ili hata yule ambae si wa miriam apate haki yake aendelee na masomo. Mtoto atakae ona anastahili kkusimamiwa na mjomba ampe mjomba sehemu ya mali yake aisimamie., au mke akiona kaka ake ndio msimamizi mzuri ampe sehemu yake asimamie.
Walifunga nyumba kwa sababu, Erasto amefariki, mkewe yuko magereza, watoto wako shule/vyuoni nyumba ingekaa wazi na mfanyakazi tu? Au ingekaa wazi ili nani aishi huko?Erasto aliacha wosia Na alitaka 40% ya Pesa yake wapewe wazaz Na ndugu zake Na Miriam alishawapa. Lakini familia haikuridhika ikataka xaidi Na ndo walianzisha chokochoko. Miriam alipokamatwa alimwachia kaka yake aangalie Mali sababu ndugu Wa erasto wanazitaka zote. Huyo mtoto shangqz zake walimweka ndani wakimuhusisha Na kesi ya mama ake. Hao ndugu zake erasto kwanini walifunga nyumba?
Tatizo la hao warita ni umaskini, huyo mjomba alikuwa choka mbaya kaja anafuja pesa kwa kisingizio cha kutafuta mawakili kumtoa dada ake, mara atake pesa za kuhonga sijui kina nani dada ake atoke kumbe nyingoi anajinufaisha yeye amemrudisha mtoto kutoka masomoni ili iwe rahisi kumpa maeno kuwa anataka amtoe mama ake jela, juzi kwa mkuu wa wilaya walikuja ukoo mzima, mojomba kaja na mkewe, kaja mjomba mwingine kaja mama mdogo na mumewe kaja mtoto wa mjomba, wote wanataka mali ya shemeji. Wakati Erasto alipo kuwa hai hawakuwa karibu nae kiasi hicho. Mjiomba amejenga, ananunua nyumba watoto wanakosa chao. Bora mali igawanywe kwa watoto na mama yao apate sehemu yake ili hata yule ambae si wa miriam apate haki yake aendelee na masomo. Mtoto atakae ona anastahili kkusimamiwa na mjomba ampe mjomba sehemu ya mali yake aisimamie., au mke akiona kaka ake ndio msimamizi mzuri ampe sehemu yake asimamie.
Kuhusu nini mpendwaNatamani kujua ilikuwaje mpendwa
Yaani mjomba amejua na kuvaa miwani ya jua, anavaa hata ndani ya ofisi amejua kutingisha funguo za gari, yaani hana aibu kabeba mkewe kwenda kusikiliza akililia mali za shemeji. Yaani alivyo na tamaa unaweza sema nae alishiriki mauaji ya shemeji yake, jamaa kapata na afya. Yule kijana atakuja juta muda si mrefu mjomba atavuta fungu kubwa halafu atajitenga na dogo kwa kisingizio kuwa amechoka malumbano kumbe amepata alicho taka.Hilo wengi hawalioni. Ila ukoo wa mrita hawana aibuu ndo nlichogundua. Na Kumbe umaskini hupunguza akili.
Kwa kweli wabongo tuache maskhara hiyo hotel naifahamu sana! Ni kweli kwa hali ilivyo sasa si kujenga self tu hata kuje room mbili choo na sebule ni shughuli hamna biashara inayofanyika pale kubwa kiasi hicho kufikia mjomba kuporomosha ghorofa.Hiyo hotel unaifahamu? Kwa biashara ilivyosasa hiyo hotel haiwezi hata kujenda "self"ya kawaida
Amina.Tatizo la hao warita ni umaskini, huyo mjomba alikuwa choka mbaya kaja anafuja pesa kwa kisingizio cha kutafuta mawakili kumtoa dada ake, mara atake pesa za kuhonga sijui kina nani dada ake atoke kumbe nyingoi anajinufaisha yeye amemrudisha mtoto kutoka masomoni ili iwe rahisi kumpa maeno kuwa anataka amtoe mama ake jela, juzi kwa mkuu wa wilaya walikuja ukoo mzima, mojomba kaja na mkewe, kaja mjomba mwingine kaja mama mdogo na mumewe kaja mtoto wa mjomba, wote wanataka mali ya shemeji. Wakati Erasto alipo kuwa hai hawakuwa karibu nae kiasi hicho. Mjiomba amejenga, ananunua nyumba watoto wanakosa chao. Bora mali igawanywe kwa watoto na mama yao apate sehemu yake ili hata yule ambae si wa miriam apate haki yake aendelee na masomo. Mtoto atakae ona anastahili kkusimamiwa na mjomba ampe mjomba sehemu ya mali yake aisimamie., au mke akiona kaka ake ndio msimamizi mzuri ampe sehemu yake asimamie.
Mjomba kageuka Halmashauri Kama hautumi matokeo tunafunga mshahara.Huyo wa Canada akitua Bongo atakuwa upande wa Bibi na Babu sinema bado mbichi.Huyo aliyeko Canada muambie atume matokeo ndiyo alipiwe ada.
Ww hujaelewa. Sasa kwa nini msuya wasiombe Mali zigaiwe upya kwa wanae wakati mtoto wa kambo wa Miriam hata Ada alinyimwa na mamake wa kambo na huyo mjomba. Kwanza toka lini kaka yangu afe halafu wifi nae awe hayupo halafu watoto na mali wakabidhiwe kwa wajomba wakati ukoo wa baba bado wako hai? Hiyo mila Nadhani wanayo warita walio kosa busara. Hata Kama walikuwa hawana maelewano walikosa kutafuta mzee wa hekima Huko kwa Akina Miriam aje kwa Akina msuya napo atafutwe wa hekima ili wamtafute mtu wa upande wa baba ambaye wanamuona neutral atakayesimama kuwaangalia watoto na Mali wakat mama Yao hayupo au wakati wakisubiri taratibu zingine? Kwa ukoo nilionao siku nimefiwa na mume halafu kuwe na misuguano ukweni halafu nipate matatizo ya kutokuwepo home si baba yangu Wala mama yangu angenikubalia eti kaka yangu ndo awe anakatiza Kordo za hotel za marehem mume wangu atiii ananisaidia kusimamia. Kiuwazi kabisa wenye uchu wa Mali ni warita. Mtu mzima tena wa kiume na akili zako huwezi kuwa busy kwenye Mali za marehemu shemeji tena kwa ubabe eti unamsaidia dada.
Hahahaha na huyo alitakiwa atue bongo at anycost ili sinema iwe tamu zaidiMjomba kageuka Halmashauri Kama hautumi matokeo tunafunga mshahara.Huyo wa Canada akitua Bongo atakuwa upande wa Bibi na Babu sinema bado mbichi.
Sikiliza vizuri hao mashangazi na huyo mjomba na huyo mtoto, utaelewa vizuri! Angalia wapi wanalogicsio sahihi unachokiongea mke wa marehemu hakuwa mjinga kumchagua mdogo wake wa kiume kusimamia ukiangalia upande wa kiume wamejaa wanawake wenye akili kama zako za kugawa mali badala ya kusimamia na kuzikuza ili watoto wakiwa wakubwa wafaidi,mimi kwa maelezo yaliyotolewa sijaona tuhuma za wazi zilizoelekezwa kwa walita ila ni wazi wamesimamia vizuri kiasi cha kutotoa nafasi kwa maharamia waliopanga kupoka haki ya watoto
Dogo akiachiwa atauza zote .Mashangazi wanajua zilivyopatikana. Marehemu apumzike kwa amani tuJe usajiuliza huyu illionaire alipata aje hizi mabillions?na je unajua kile kilifanya auawe kwa kupigwa risasi 23????hizi mabillions ni hela alizipata kwa njia isio safi(this billions are proceeds of very dirty deals,some involving killings and such)pls find out how easto got his billions and there is the answer to why this is taking place.nadhani umenielewa mkuu,
Hawa jamaa mbona wana majina ya kipare? Ni wachaga au wapare?Umofia kwenuuu wanabodi!!
Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa Dc wa namna ya kushighulika na sakata hili!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana hili sakata la bilionea Msuya, lakini nimeshtushwa kumbe hatimaye kwa miaka hii ambayo mke wa erasto yupo gerezani mali zimekuwa zikisimamiwa na kaka wa mwanamke huyo !
Nimejaribu kuestablish in summary vitu vichache ambavyo vitarahisisha katika kutoa ushauri:-
1.Bilionea Msuya alikuwa mfanyabiashara wa madini aliyeuwawa kwa kimiminiwa risasi maeneo karibu na KIA miaka ya 2013,wauaji walikamatwa na kuhukumiwa kunyongwa.
2.Dada wa bilionea Msuya kwa majina ya Anathe Msuya aliuwawa mwaka 2016 nyumbani kwake kigamboni.Alichinjwa :na wauaji walikamatwa ambapo mmoja wao ni mke wa marehemu bilionea Msuya kwa majina ya Mirium Mrita.Mke huyu wa marehemu erasto Msuya alikiri kuhusika katika mauaji ya wifi yake kwa madai kuwa alikuwa anamtukana na kumtumia picha za wanawake wenye maumbo makubwa kwa kumkebehi (nadhani walilumbana kuhusu mali pia) kesi inaendelea na mke yupo segerea
3.Wazazi wa marehemu Erasto msuya wote wawili wako hai na inasemekana bilionea huyu utajiri wake aliupata kutoka kwa wazazi ikiwepo kupewa mali kama kitalu cha mgodi na hoteli ya SG etc etc
4.Marehemu Erasto msuya aliacha watoto wanne ambapo mtoto wa kwanza kwa majina ya kelvin Ana umri wa miaka 23 kwa Sasa! (Kwa mtoto wa kiume wa familia ya kitajiri ndo muda wa kula bata kama zote ).
5.kikao cha familia kilimteua mirium mrita kuwa msimamizi wa mirathi ya marehemu erasto msuya,na baadae alipokamatwa kwa tuhuma za mauaji ya wifi yake alimteua ndugu yake Steven mbazi kuwa msimamizi wa mali hizo bila kuhusisha wahusika wote wa mirathi ya erasto.
6.Mjomba Mbazi analalamika ndugu wa erasto wanamtishia maisha, mjomba Mbazi ndo anasimamia SG hotel, Mjomba Mbazi amekataa kumlipia ada Glory mtoto wa erasto anayeishi canada kwa madai kwamba hajatuma matokeo
7.Mtoto wa marehemu Kelvin alitokea mbele ya vyombo vya habari mapema wiki iliyopita akiomba msaada wa raisi Magufuli kuingilia kati sakata hilo Kwani wanateseka, alitoka mbele ya vyombo vya habari akiwa na mjomba wake ambaye ni mbazi huku akiwa na vielelezo vya RB alizochukua baada ya kutishiwa na ndugu wa Erasto!
8.Ndugu wa Erasto wanacholalamika ni namna mali za kaka yao zinavyotapanywa na ndugu hao wa mwanamke, inasemekana mwanzo walikuwa wanafika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi marehemu na mkewe na wanatoka na bahasha, lakini pia licha ya kuwa wao wanasimamia mali bado hawawezi ata kuwalipia ada watoto na ndugu wanapolalamika wanaushia Kutukanwa! Wanasisitiza hawahitaji mali ila hawataki zichezewe na ndugu wa mke sababu baadae watoto watateseka! Na wanafanya kwa upendo
9.Kelvin amesikika leo Akisema anajua ni ndugu wapi wanaupendo na wao watoto, akasema ndugu wa mama ndo wanaupendo nao na sio ndugu wa baba, kama ndugu wa baba wanaupendo wanaousema basi wawe na upendo na mama yake pia aliyegerezani ( salaleeeee hapa dogo kasahau kuwa mama yake kamuua ndugu yao???🤷🏼♀️
10. Chini ya Dc Muro leo wamekubaliana kuondoa mashauri yote yaliyomahakamani ili wasuluhishe jambo hili la mali za marehemu nje yamahakama!!!!!
Naomba niishie hapa kwa niliyosahau wengine mtaongezea, tushushe ushauri hapa kusaidia jambo hili Kuisha salama
Hivi ni nani aliwadanganya kwamba Erasto alipewa Hotel na babake.Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upya