Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Siku hizi vyuo serious utakuta vitabu vya library vipo katika electronic form ili watoto wavipate katika simu zao za mkononiVijana wa siku hizi hawasomi vitabu kabisa.
Unakuta kijana iwe chuoni au sekondari anatumia simu kutafuta material na anaona sawa.
Vijana wengi wananiambia wanajisomea nyumbani kwa kutumia simu. Wanagugo ili kupata material wanayotaka.
Je, simu na kompyuta zinadumaza akili?
Msaidie mwenzenu. maana ujinga ni mzigo. Anaonekana kachoka huyo.Kwani mpaka ufunue makaratasi ndio uonekane unasoma Dunia inatoka huko kwa kasi sana.
Tofautisha kitabu soft copy na kutumia mtadao kupata materialSiku hizi vyuo serious utakuta vitabu vya library vipo katika electronic form ili watoto wavipate katika simu zao za mkononi
Mbona unaongea as if kuna ubaya watu kupata material mtandaoni Heri yao wanatumia mtandao kwa manufaa, sio kulike picha za makalio 24/7Tofautisha kitabu soft copy na kutumia mtadao kupata material
Umenipata vizuri.? Mfano mwanafunzi anaulizwa nini maana ya ekolojia? Haendi kutafuta kitabu kinachohusu ekolojia. Anaigia google anatafuta jibu? Ni sahihi?Vitabu labda kama ni hobby tu na upo karibu na library ya vitabu..
Ila kama uko mbali na library ni vyema kuea na kindle ambayo ni kama tablet ya usomaji.
Mimi nikiwa karibu na library huea nakusanya hata vitabu vinne nasoma kama nascroll instagram yaani naangalia heading inayonivutia naisoma na isiyonivutia naachana nayo..
So kama mtu yuko karibu na vitabu bora asomee vitabu, kama yuko mbali na vitabu ni vyema akatumia electronic device kusomea cha muhimu maarifa yapatikane
Kuna hoja zinaibuka kuwa mitandao inadumaza akili. Vitabu ni bora kuliko mitandao. Swali langu lipo hapoMbona unaongea as if kuna ubaya watu kupata material mtandaoni Heri yao wanatumia mtandao kwa manufaa, sio kulike picha za makalio 24/7
Anhaa hapo sasa nimekuelewaKuna hoja zinaibuka kuwa mitandao inadumaza akili. Vitabu ni bora kuliko mitandao. Swali langu lipo hapo
Kwa mtu ambaye hana interest na kusoma na kujua vitu kwa undani nadhani usomaji huo sio sahihi..Umenipata vizuri.? Mfano mwanafunzi anaulizwa nini maana ya ekolojia? Haendi kutafuta kitabu kinachohusu ekolojia. Anaigia google anatafuta jibu? Ni sahihi?