BC maana yake nini?Mara ya mwisho kusoma kitabu cha hard copy ilikua mwaka 2012
Tangu hapo ni mwendo wa soft copy tu
We utakua mzee wa BC (Born before Computer)
Kitu hujui, nyamaza tu. Unadhani tunazungumzia normal PDF. KalagabahoTofautisha kitabu soft copy na kutumia mtadao kupata material
Kweli zama zimebadilika
Hoja ya Kichwa chako cha habari ina ukakasi. Kuna vitabu soft copy na kuna vitabu hard copy.Kuna hoja zinaibuka kuwa mitandao inadumaza akili. Vitabu ni bora kuliko mitandao. Swali langu lipo hapo
We mpumbavu nini? Nimezungumzia vitabu? Shwain mkubwaHoja ya Kichwa chako cha habari ina ukakasi. Kuna vitabu soft copy na kuna vitabu hard copy.
👉 Vitabu soft copy vinapatikana kwa kutumia internet. Unaweza Kupakua na Kuhifadhi kwenye pc, simu, au tablet. Vile vile vitabu soft copy unaweza kujisomea Bila kuruhusiwa Kupakua.
Tanbihi: soft copy na hard copy content ni Ile ile. Kwa mfano kitabu cha "Things fall apart".
🖕🖕🖕🖕We mpumbavu nini? Nimezungumzia vitabu? Shwain mkubwa
Mavi ya mama yako🖕🖕🖕🖕
Kumbe unazungumzia nini?
Ni kama uko na mental disordered