Je, ni sahihi Watoto wadogo (under 18) kusoma Biblia bila uangalizi wa Mwalimu wa dini?

Hao walimu wa dini wana ufanisi gani kidini na kitakatifu mbele ya Mungu?...wakristo ni wapumbavu sana
 
kbla ya dini za wamishionary na waarabu africa mlifanya nn ktk science na technology??
Africa hawakuwa na maendeleo makubwa ya science and technology kuwa zidi missionary kwa kuwa wa Africa hawakuwa na muingiliano na jamii tofauti
 
Africa hawakuwa na maendeleo makubwa ya science and technology kuwa zidi missionary kwa kuwa wa Africa hawakuwa na muingiliano na jamii tofauti
ko ili uendelee kitecknolojia lzma kuwe na muingiliano???? na nani aliwakataza wasiwe na muingiliano na sababu zipi zilizopelekea muingiliano??

saiv ww unamuingiliano umegundua nn?? ww na atheist wenzio msiolemazwa na din?
 
Ki historical hii mbona Iko wazi, mesopotamia, Babylonian, Greece, misri waliendelea ki technologia mbalimabli kama kilimo,silaha,siasa, etc kuliko western Europe, and amarika .

Jamii inapokosa muingiliano na jamii nyingi tofauti inakosa hamasa au wivu wa kimaendeleo. Sio Kwamba wanakuwa hawana akili,

Ila TU ile hamasa ya kujifunza kitu kipya , wanakuwa hawana
 
Mimi naungana na wewe cause kama angekuwa anasali angejua hata watoto chini ya under 18 wana simplified bible yenye picha kuweza kuwavutia kusoma
View attachment 3568787
Huu ni mjadala mpya. Basi ngoja nikurahisishie. Ni sahihi kuwapa waroto Biblia wajisomee au si sahihi badala yake tuwape hivi vitabu? Ni vizuri mtoto kumuachia Biblia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…