Je, ni sahihi waziri kufanya shughuli za Kiserikali akiwa amevaa gwanda za CCM?

Mambo yenu ya kiccm usituletee huku au hujalipwa bk7 yako
 
Hii nchi inajiendea tu. Sijui lini tutapata mabadiliko ya kweli.
 
Una tatizo la macho au ugonjwa wa akili. Kuna mtu mtu kavaa kijani hapo?
Yani ukurupuke huko kujifanya wewe ndio mpimaji akili, kisa nimesema Kijani Kijivu, Wewe umepofuka? Umeona kijani tu? Wakati nimeandika Kijani Kijivu... Acha hizo bana.
 
Binafsi sioni kama ni tatizo. Ni kwamba nguo ziwe za staha..!! Vipi akivaa za Simba au Yanga imekaaje?
 
Hii nchi inajiendea tu. Sijui lini tutapata mabadiliko ya kweli.
Hiyo picha moja tu ndio inaoyofanya Nchi ijiendee tu?

Hebu CHADEMA muanze hayo mabadiliko wenyewe kwanza.

CCM imeshabadilisha Wenyeviti wangapi tangia Vyama Vingi vianze ukilinganisha na CCM?

CHADEMA mmeshafanya hivyo? au ndiyo hayo unayosema, mnajiendea tu.

Mmbadilike
 
Amevaa vazi la rangi ya kijani au amevaa sare ya chama?

Kinachoonyesha kwamba amevaa sare ya chama ni kitu gani?

Je, kwa Tanzania mtu anaweza kuwa waziri bila kuwa Mbunge?

Mtu anaweza kuwa Mbunge kama siyo mwanachama wa chama cha siasa?
Hauna akili hata moja
 
Umesusa kujibu swali?

Manake sijauliza ni kitu gani kina rangi ya kijani kwenye picha

CHADEMA, mbula.
"Na hawa waliovaa kijani kijivu je
Hivi hawa nao CCM?" Hebu onesha rangi ya kijani kwenye picha hii, mimi ninaiona ipo kwenye hiyo miti.
 
Ni sahihi kabisa,

Kilichopo madarakani ni Serikali ya CCM, na kinachotekekezwa ni ilani ya CCM, na watekeleza hiyo ilani ni wana CCM kwa manufaa mapana ya waTanzania wote.

So, yupo sahihi kabisa kuvaa gwanda akitekeleza ilani ya CCM...
 
Huyu akili kisoda anaishi kwa msingi kiuno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…