Je, ni sahihi waziri kufanya shughuli za Kiserikali akiwa amevaa gwanda za CCM?

Mleta uzi huu ni mccm mwenzenu
 
Ni sahihi kwasababu kupitia hicho chama ndo kaupata Ubunge+Uwaziri
 
Amevaa vazi la rangi ya kijani au amevaa sare ya chama?

Kinachoonyesha kwamba amevaa sare ya chama ni kitu gani?

Je, kwa Tanzania mtu anaweza kuwa waziri bila kuwa Mbunge?

Mtu anaweza kuwa Mbunge kama siyo mwanachama wa chama cha siasa?
Mbona mawaziri kutoka nchi majirani hawafanyi ujinga huo kwani wao hawana vyama? shida hilo chama limezaliaha machawa kiasi kwamba hata vichwa vyao vimejaa funza.dr, profesa nk wote wanabehave childish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…