Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kimbe unazima linakaa muda gani?Yan uzime then ukute limeharibika? Hii mpya…
Unazima vizuri tu, thoe mie sijawahi kuzima ya kufikia week.
KumbeNshazima likakaa mwezi na halikuharibika
Unazima tu kwani yakiwa dukani yanawashwa?Kumbe
Mie nazimaga linakaa hata miezi 6 na halijaharibika.Nshazima likakaa mwezi na halikuharibika
Inaonekana wewe ni mgeni wa matumizi ya friji kama mimi acha nikae mkao wa kujifunza.Wakuu habari
Nauliza je kama situmii friji ni salama kuzima? Mfano limeisha vitu au nasafiri nikalizimaa wiki au mbili
Maana kuna ambayo yanazimwa kisha baadaye yanakuwa yameharibika
Dukani yanakuwa mapya, hawajawahi kutumikaUnazima tu kwani yakiwa dukani yanawashwa?
Hata mafrij ya mtumba yanakaa muda mrefu mpaka yaje kuuzwa. Zima tu hakuna shida.Dukani yanakuwa mapya, hawajawahi kutumika
Yakiwa mtumba kuna service yanakuwa yamepigwa
Jokofu gani unatumia mzee? Ukubwa?Dukani yanakuwa mapya, hawajawahi kutumika
Yakiwa mtumba kuna service yanakuwa yamepigwa
Wakuu habari
Nauliza je kama situmii friji ni salama kuzima? Mfano limeisha vitu au nasafiri nikalizimaa wiki au mbili
Maana kuna ambayo yanazimwa kisha baadaye yanakuwa yameharibika
Watu wanaona friji limeharibika pale ukungu unapoota ndani kwani walizima friji bila kukausha vizuri ndani ya friji. Safisha na kukausha friji vizuri kabla ya kulizima.Wakuu habari
Nauliza je kama situmii friji ni salama kuzima? Mfano limeisha vitu au nasafiri nikalizimaa wiki au mbili
Maana kuna ambayo yanazimwa kisha baadaye yanakuwa yameharibika
AhaaNilihamia kwangu kukiwa hamna Umeme. Friji cum Freezer likawa Off miezi Saba. Lipo poa sasa