Yaani kwanza demu mie akiniomba nu sign kwangu kuwa natumika sipendwi.kutoa natoa Ila ihali yangu tu.
Nishawahi kuwa na demu tumeishi gesti hela ikatuishia Alianza kupiga mizinga wanaomshobokeaga wakawa wanatumia hela tuna spend naye.
Namie ananiuliza hauna marafiki.nimetoka chuo Sina hata Mia sema masela zangu nawaeleza ukweli wananitoa tunakula maisha.tuliongeza wiki nzima.
Demu unamhonga anamuita anayempenda wanaenda ku spend.
Sema life ni just your perception. What you see in mirror don't press others to see it.
Two men if one says is possible and another one says impossible. The are both right