Huyu jamaa dhaifu sana, ana mtazamo tofauti sana kuhusu wanawake .. yani ana waabudu mno .. na bila shaka wanamburuza vilivyo [emoji23][emoji23] ..Ukiwa real na maisha utakuja gundua kuna uzembe sana baina yetu wanaume hasa wanaofikiria kutumia pesa kurubuni wanawake ndio wanapata penzi la kweli wakati wako makapuku kibao wanainjoy mapenzi bila stress!
Mwanaume unaanzaje kununa? Mkigombana, myamalize hasa wewe mwanaume Kisha lazimisha mpige make-up game.Ngoja nimpigie kwanza bebi wangu maana tuna mgogoro na tumenuniana.
Mwanaume unaanzaje kununa? Mkigombana, myamalize hasa wewe mwanaume Kisha lazimisha mpige make-up game.Ngoja nimpigie kwanza bebi wangu maana tuna mgogoro na tumenuniana.
Hivi kwa nini wanaume wengi wanaona suala la kutafuta pesa ni kwa ajili ya wanawake na sio wao binafsi?Ukiwa real na maisha utakuja gundua kuna uzembe sana baina yetu wanaume hasa wanaofikiria kutumia pesa kurubuni wanawake ndio wanapata penzi la kweli wakati wako makapuku kibao wanainjoy mapenzi bila stress!
Mafanikio ya kiuchumi ni mazuri kwa familia yako na hasa kama ukiwa mtu wa kutoa misaada sio kuringishia funguo za IST kwa ndugu waliofulia!Hivi kwa nini wanaume wengi wanaona suala la kutafuta pesa ni kwa ajili ya wanawake na sio wao binafsi?
Ipo wazi ukifanikiwa watu wako wa karibu watafaidika na mafanikio yako, sioni tatizo mpenzi wako kufurahia matunda ya kazi zako.
Akiwa na pesa ndipo anaona Ana uhakika wa kummiliki so akiwa Hana anajiona Kama Hana sauti kwake.We jamaa inaelekea unapelekeshwa sana na wanawake yani hujiamini kabisa .. na unachunwa Ile mbaya, kuwa na msimamo bro .. pesa hainunui mapenzi ya kweli kama mwanamke anakupenda basi anakupenda tu hata akichepuka ni kwaajili ya tamaa tu ila atarudi tu .. kuwa na msimamo ..
Yaani kwanza demu mie akiniomba nu sign kwangu kuwa natumika sipendwi.kutoa natoa Ila ihali yangu tu.Huyu jamaa dhaifu sana, ana mtazamo tofauti sana kuhusu wanawake .. yani ana waabudu mno .. na bila shaka wanamburuza vilivyo [emoji23][emoji23] ..
Ni kweli mkuu true love still do exist, we ukiweka pesa mbele utaishia kuchunwa tu alafu anahongwa anaye pendwa .. tanguliza pesa kama huna malengo na binti kama una malengo nae basi aanze kukupenda wewe then pesa ifuate ..Yaani kwanza demu mie akiniomba nu sign kwangu kuwa natumika sipendwi.kutoa natoa Ila ihali yangu tu.
Nishawahi kuwa na demu tumeishi gesti hela ikatuishia Alianza kupiga mizinga wanaomshobokeaga wakawa wanatumia hela tuna spend naye.
Namie ananiuliza hauna marafiki.nimetoka chuo Sina hata Mia sema masela zangu nawaeleza ukweli wananitoa tunakula maisha.tuliongeza wiki nzima.
Demu unamhonga anamuita anayempenda wanaenda ku spend.
Sema life ni just your perception. What you see in mirror don't press others to see it.
Two men if one says is possible and another one says impossible. The are both right
Ndo kanuni yangu mkuu.Ni kweli mkuu true love still do exist, we ukiweka pesa mbele utaishia kuchunwa tu alafu anahongwa anaye pendwa .. tanguliza pesa kama huna malengo na binti kama una malengo nae basi aanze kukupenda wewe then pesa ifuate ..