Je, ni sawa kutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha Mwanamke kabla ya kupiga mjegeje?

Je, ni sawa kutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha Mwanamke kabla ya kupiga mjegeje?

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,086
Hili swali la je ni salama?, ni Afya na je ni sawa kuutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha BI-AISHA ili kumwandaa Mwanamke kumpokea Abdallah kipara wazi?.

Jibu langu kwako ni 👇

Ndiyo, nani sahihi na Ki-Afya ni salama kutumia ulimi kama nyenzo ya maandalizi ya awali (foreplay) kuinua hisia za Mwanamke ili Bi-Aisha alainike kiasili na Abdallah kipara wazi apenye kirahisi ilimradi tu kitendo hiki kifanyike kwa usalama na kwa ridhaa ya kila mmoja wenu kabla ya tendo.

Sababu za kwanini ni Sawa.
----------------------------------------

1. Ni kwa sababu Huongeza msisimko wa kihisia kwa B-Aisha na kuruhusu B-Aisha kutoa majimaji ya asili (lubrication) ambayo ni salama wakati tendo litakapo endelea.

2. Ni kwa sababu kufanya hivyo Hupunguza maumivu na msuguano ambao ungemuumiza Mwanamke wakati wa kuingiliana ikiwa hakukuwa na muda wa kuandaana.

3. Ni kwa sababu pia Huongeza (Intimacy) ukaribu na kuridhika kimapenzi na kihisia kwa 100% kwa Mwanamke na Mwanaume pia.

Tahadhari ndogo kwako wewe:
---------------------------------------------

Kwa Mwanaume Epuka kufinya kinena kwa meno/kuuma au kung'ata hakikisha unakuwa slowly wakati wa kukimeng'enya kwa ulimi na kuwa mtaratibu.

Kwa Mwanamke kama wajiona kuna majeraha kwa maana ya vidonda, harufu isiyo ya kawaida, au maambukizi kwa B-Aisha usiiluhusu oral sex kufanyiwa.

Kwa Mwanamke na Mwanaume eleweni ni wajibu wenu kuuzingatia Usafi wa kinywa na sehemu za siri na ipeni umuhimu sana hili.

Niseme tu kwa kuhitimisha:
---------------------------------------

Foreplay kwa ulimi ni njia salama na bora, tofauti na kutumia mate kama kilainishi, maana mate huwa hayachukui muda kukauka na hubeba bacteria ambao hutumika kusaidia mmeng'enyo wa chakula ( Oral bacteria/oral microbiota ) wakati wa kutafuna.

Na hawa Bakiteria sio salama na rafiki kwa Uke wa Mwanamke naomba kuwasilisha somo hili kwa Wadau wa ukuta huu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1766830565586.jpg
    FB_IMG_1766830565586.jpg
    57.9 KB · Views: 71
Hahahaha itakuwa haujawahi kufanyiwa hiki kitendo, je hata kwa uliyenae na hisia za upendo kwake akataka hautamruhusu?🤔
Na wewe ni mdau wa kulamba mipodido?

Huo upuuzi sijawahi kuuelewa. Na siwezi kumruhusu mtu anifanyie hivyo.
Halafu mbona mapenzi mnayatia chumvi sana mpaka mnayaharibu..??!!
 
Sasa si umuache akufyonze ili asipate tena uwezo wa kukufokea na kukuamrisha, kwani unakwama wapi mamie 😅
Halafu sasa yalivyo mataahira linakufyonza kisha linakuja kukiss Jeezy!! WTF?! 😏😹😹

Yani domo limejaa chumvi tupu linataka likuonjesheshe na wewe 😹😹
Kwani ningetaka si ningedumbukiza kidole nwenyewe nilambe. Waache upumbavu
 
Halafu sasa yalivyo mataahira linakufyonza kisha linakuja kukiss Jeezy!! WTF?! 😏😹😹

Yani domo limejaa chumvi tupu linataka likuonjesheshe na wewe 😹😹
Kwani ningetaka si ningedumbukiza kidole nwenyewe nilambe. Waache upumbavu
Nimecheka mpaka nimekaa chini 🤣🤣 mimi hizo purukushani ndiyo nazipenda sasa.

Wewe inabidi umpate mchaga mtulivu kama kaka yangu Pendaelli ndiyo mtaendana.
 
Back
Top Bottom