Je, ni sawa kwa mwanaume kumtafutia mke wake 'Bull' wa kumridhisha kama yeye hawezi?

Je, ni sawa kwa mwanaume kumtafutia mke wake 'Bull' wa kumridhisha kama yeye hawezi?

Hiki kizazi kinawaza ngono tu mda wote, ila mahusiano ni zaidi ya sex. Kwanza mahusiano yenye imara sex ni sehemu ndogo sana ya mahusiano. Ila sasa dunia hii inawaza ngono mda wote Hawana impact na jamii, kitu ambacho hata tukijiuliza toka tuanze sex tumepata faida gani. .

Huwa najiukiza nimetomba sana mademi katika ujana wangu ila mpaka Leo nikifikiria ni utumwa sana hakuna faida yeyote Ile. Ukiwa unatomba nimegundua akili inakuwa inachoka sana, mwili unachoka, unapoteza energy kubwa sana, spirit affected, time wasted, upuuzi mtupu. .
 
Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala.

Mwanaume anajiona kabisa kwenye sekta ya mkazo ana F, anaona kabisa kuchapiwa hakuepukiki na kuna uwezekano mkubwa wa kumfumania mke wake, anachofanya ni kujiongeza mwenyewe kumtafutia mke wake Bull, hawa ma Bull kazi yao huwa ni kuwapunguzia ashki wake zao.

Kutafuta Bull inaweza kuwa kwasababu:
  • Jogoo hapandi mtungi.
  • Kuwahi kumaliza.
  • kupata majeraha sehemu za kati n.k.
Kwa wale waliyoangalia 'Prison Break', waliona kipande fulani kuna tajiri alikuwa na pisi kali ila alikuwa na matatizo ya mashine, ilibidi awe anatafuta Bull kwajili ya mke.

Sasa je, kimantiki hii kitu ipo sawa?
Hawa Bull hapa bongo wanapatikana wapi?
 
Westernization in Africa particularily Tanzania. Ila tujue kuwa kadri tunavyoyajadiri mambo mageni kwenye tamaduni zetu ndivyo yanavyopata nafasi na kuzoeleka mioyoni mwetu.
Mijadala ndiyo kitu tunataka

Hata tusipojadili yatapenya tu
 
Back
Top Bottom