Haya mambo siyo
fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala.
Mwanaume anajiona kabisa kwenye sekta ya mkazo ana F, anaona kabisa kuchapiwa hakuepukiki na kuna uwezekano mkubwa wa kumfumania mke wake, anachofanya ni kujiongeza mwenyewe kumtafutia mke wake
Bull, hawa ma
Bull kazi yao huwa ni kuwapunguzia ashki wake zao.
Kutafuta Bull inaweza kuwa kwasababu:
- Jogoo hapandi mtungi.
- Kuwahi kumaliza.
- kupata majeraha sehemu za kati n.k.
Kwa wale waliyoangalia 'Prison Break', waliona kipande fulani kuna tajiri alikuwa na pisi kali ila alikuwa na matatizo ya mashine, ilibidi awe anatafuta
Bull kwajili ya mke.
Sasa je, kimantiki hii kitu ipo sawa?