Je, ni sawa kwa Rais Samia kuiunga mkono Somalia kiusalama?

Safi sanaaaa! EAC iwe ya amani sasa...

DRC
Somalia
S.Sudan
Burundi
Rwanda
 
“Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia SuluhuView attachment 2975496

Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine.

Ombi langu ni hili ni kuwa hiki sio kipindi cha utawala wa Nyerere na harakati za ukombozi wa Afrika.

Hii kauli sioni kama ilikuwa sahihi kutolewa na kiongozi wa ngazi ya juu ya serikali.

Kudhibiti tu wahamiaji haramu wanaouvaa uraia wa Tanzania tumeshindwa CDF kathibitisha hilo tena wengine na madaraka makubwa nchini tunawapa.

Wasomali tunao hapa nchini na wanazidi ingia kwa njia wanazo jua wenyewe, sehemu tunayotaka kukanyaga sio sahihi hata kidogo labda kama tupo tayari kwa matokeo yoyote yatakayo tupata.
Halafu tuna tembo wengi sana na hawa jamaa ni watu wa magendo iko kwenye damu yao wote. Ndio maana walimuasi kiongozi mahiri na mjamaa kama siad barre na kisha kusambaratisha nchi yao kwa kuingiza siasa kali za dini nchini mwao. Lakini tukbali baada ya muda mrefu hawa watu wanastahili msaada ikiwa wapo tayari kupokea kuhusu mambo ya uliinzi.
 
Safi sana, sijawahi kumsifia Rais tangu apokee kijiti ila kwa hili namsifu sana, ameupiga mwingi
 
Huu ni muda wa kujiepusha na mikusanyiko.

Al shabab itaanza kukinukisha muda wowote kama ngao ya kuizuia tz kusaidia Somalia.

Waziri wa mambo ya nje au msemaji wa serikali kanusha haraka ndani ya saa24
 
“Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia SuluhuView attachment 2975496

Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine.

Ombi langu ni hili ni kuwa hiki sio kipindi cha utawala wa Nyerere na harakati za ukombozi wa Afrika.

Hii kauli sioni kama ilikuwa sahihi kutolewa na kiongozi wa ngazi ya juu ya serikali.

Kudhibiti tu wahamiaji haramu wanaouvaa uraia wa Tanzania tumeshindwa CDF kathibitisha hilo tena wengine na madaraka makubwa nchini tunawapa.

Wasomali tunao hapa nchini na wanazidi ingia kwa njia wanazo jua wenyewe, sehemu tunayotaka kukanyaga sio sahihi hata kidogo labda kama tupo tayari kwa matokeo yoyote yatakayo tupata.
Nijiavyo jeshi letu la Polisi lina Kandarasi ya kufundisha Polisi wa Somalia au iliisha?
 
Inashangaza kiongozi anasema chochote kile kufurahisha mgeni wake pasipo kuangalia madhara ya matamshi yake.
Kuwawezesha kujilinda ni tofauti na kupeleka vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuwalinda, kiswahili rahisi tu
 
Halafu tuna tembo wengi sana na hawa jamaa ni watu wa magendo iko kwenye damu yao wote. Ndio maana walimuasi kiongozi mahiri na mjamaa kama siad barre na kisha kusambaratisha nchi yao kwa kuingiza siasa kali za dini nchini mwao. Lakini tukbali baada ya muda mrefu hawa watu wanastahili msaada ikiwa wapo tayari kupokea kuhusu mambo ya uliinzi.
Siad bare hakuondolewa na watu wa siasa Kali za dini,punguza nyege za dini
 
Watu mna mihemuko ya kijinga kwamba moral support inashida gani, mbona hilo ni kauli ya kiutawala, haja saini makubaliono yoyote, acheni chuki dhidi ya Raisi wetu.
Hakuna mwenye chuki na Honorable causa.Nyie chawa hamna akili taifa haliwezi kwenda kutuliza amani sehemu ya wajinga.
 
“Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia SuluhuView attachment 2975496

Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine.

Ombi langu ni hili ni kuwa hiki sio kipindi cha utawala wa Nyerere na harakati za ukombozi wa Afrika.

Hii kauli sioni kama ilikuwa sahihi kutolewa na kiongozi wa ngazi ya juu ya serikali.

Kudhibiti tu wahamiaji haramu wanaouvaa uraia wa Tanzania tumeshindwa CDF kathibitisha hilo tena wengine na madaraka makubwa nchini tunawapa.

Wasomali tunao hapa nchini na wanazidi ingia kwa njia wanazo jua wenyewe, sehemu tunayotaka kukanyaga sio sahihi hata kidogo labda kama tupo tayari kwa matokeo yoyote yatakayo tupata.
Ni muhimu sana hasa kipindi hiki apacho tunataka kuongeza shehena za mizigo kuto china, dubai na n.k na kuwahudumia hadi nchi jirani hizo meli zinpotia kweny corido ya somali na ndio kuna uharamia wa hatari hapo.
Muhimu sana kuungana nao kwenye swala la usalama
 
“Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia SuluhuView attachment 2975496

Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine.

Ombi langu ni hili ni kuwa hiki sio kipindi cha utawala wa Nyerere na harakati za ukombozi wa Afrika.

Hii kauli sioni kama ilikuwa sahihi kutolewa na kiongozi wa ngazi ya juu ya serikali.

Kudhibiti tu wahamiaji haramu wanaouvaa uraia wa Tanzania tumeshindwa CDF kathibitisha hilo tena wengine na madaraka makubwa nchini tunawapa.

Wasomali tunao hapa nchini na wanazidi ingia kwa njia wanazo jua wenyewe, sehemu tunayotaka kukanyaga sio sahihi hata kidogo labda kama tupo tayari kwa matokeo yoyote yatakayo tupata.
Msituletee shida ya al shabab, Kenya wana 'Recce Squad' wanawadhibiti vilivyo, sisi mnh!
 
Kama wamekuwa wanachama wenzetu sawa tu
Tena waje sana watufundishe ku hustle
 
Hamna kitu kinanikera kama kuongozwa na mwanamke.

Huwa wanajitutumua snaa

Baada ya Samia nchi apewe Majaliwa au Makonda kwa ajili ya Reforms and rebuilding kutokana na damage and Aftermath itakayokuwa imeachwa na samia
 
Supporting regional peace and stability is a major tenet of Tanzania's foreign policy.

By the way, Capacity Building is a broad term with infinite possibilities. Could be military training, intelligence sharing and diplomatic support, not necessarily active military intervention, like the Kenyan debacle.​

They are always documented as Confidential Issue with red stamp

Mbona Kama last 4 months tulipokea wakongo wengi vijana kuja TZ for military training, I am sure huna hii taarifa mimi ndio ninakuambia hapa

Mataifa mengi huja kufanya training za kijeshi na huwa ni confidential , tena kwa somalia needs to be more confidential maaana sio taifa salama

Kawaulizeni wakenya. Tena TZ ilivyo loose , tukio linatokea ndio mnakuja kuokolewa

Ni hatar sana
 
Back
Top Bottom