Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Jamaa mwenyewe ni nanga...!Wakuu kwema?
Nimekutana na video hii mtandaoni, ambako huyu 'kuruta' (kama sijakosea) anapewa amri ya kugeuka kulia na kushoto, kijana huyo anafata maagizo aliyopewa huku anayetoa maagizo na wengine wakisikika wakicheka.
Nini dhumuni la kurekodi video hizi mpaka kufikia hatua ya kuzirusha mtandaoni? Anayerekodiwa ameridhia? Na hii sio mara ya kwanza kukutana na video kama hizi mtandaoni, za hawa wanafunzi wanaokwenda jeshi kwa mujibu wa sheria kurekodiwa katika matukio mbalimbali.
Huu ni udhalilishaji wa utu wake, tayari watu washaanza kutoa maoni mbalimbali juu ya muonekano wake, maumbile na kadhalika, kwa hali tu ya kawaida hakuna mtu angependa kurekodiwa katika hali hiyo na video hiyo irushwe kwa kila mtu kuona.
Hii sio sawa, kwanza ukipewa amri hapo lazima ufate, usipofata ni kukaidi na udhabu unapewa. Kwanini tunahalalisha udhalilishaji huu uendelee kutokea na kuonekana na kawaida? Wanajeshi wapo juu ya Sheria? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wao haiwahusu?
Aliyechukua video hii awajibishwe, Jeshi kama chombo cha ulinzi wanatakiwa kuwa mfano kwenye kufata sheria na sio kuwa wa kwanza kwenda kinyume na kudhalilisha utu wa watu.
Kutoka kwenye comments za video hiyo anayesikika akitoa amri ni Afande Sese, JKT Oljoro.
Sheria iwe msumeno, sio ikate kwetu tu halafu kwao kuwe butu.
Naomba ubaki kwenye mada Mkuu na upunguze mihemko.Huku ndiko tulikofikia mtu kurekodiwa anafanyishwa mazoezi ni kumdhalilisha ili akirekodiwa akikata mauno nusu uchi au vigodoro ni au akifanya ngono ni sifa
Kaa kimya ufiche ujinga wako Mkuu, au kwasababu humjui ndio maana unaona ni sawa, inachekesha, 'walikuwa wanajifurahisha tu'...kwanini iwe kwa expense ya utu wa mtu mwingine?Umekosa kazi
What are you talking about?Wakuu kwema?
Nimekutana na video hii mtandaoni, ambako huyu 'kuruta' (kama sijakosea) anapewa amri ya kugeuka kulia na kushoto, kijana huyo anafata maagizo aliyopewa huku anayetoa maagizo na wengine wakisikika wakicheka.
Nini dhumuni la kurekodi video hizi mpaka kufikia hatua ya kuzirusha mtandaoni? Anayerekodiwa ameridhia? Na hii sio mara ya kwanza kukutana na video kama hizi mtandaoni, za hawa wanafunzi wanaokwenda jeshi kwa mujibu wa sheria kurekodiwa katika matukio mbalimbali.
Huu ni udhalilishaji wa utu wake, tayari watu washaanza kutoa maoni mbalimbali juu ya muonekano wake, maumbile na kadhalika, kwa hali tu ya kawaida hakuna mtu angependa kurekodiwa katika hali hiyo na video hiyo irushwe kwa kila mtu kuona.
Hii sio sawa, kwanza ukipewa amri hapo lazima ufate, usipofata ni kukaidi na udhabu unapewa. Kwanini tunahalalisha udhalilishaji huu uendelee kutokea na kuonekana na kawaida? Wanajeshi wapo juu ya Sheria? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wao haiwahusu?
Aliyechukua video hii awajibishwe, Jeshi kama chombo cha ulinzi wanatakiwa kuwa mfano kwenye kufata sheria na sio kuwa wa kwanza kwenda kinyume na kudhalilisha utu wa watu.
Kutoka kwenye comments za video hiyo anayesikika akitoa amri ni Afande Sese, JKT Oljoro.
Sheria iwe msumeno, sio ikate kwetu tu halafu kwao kuwe butu.
Jielimishe kidogo tu uache kutoa maoni kama haya, na wewe kama Dr. inabidi uwe muelewa zaidi kuhusu husu sababu unadeal na taarifa za watu pia. Haijalishi lengo lake wala sisi tunafikiria nini, kitendo cha kumrekodi bila ridaa yake na kurusha video hiyo mtandaoni ni kosa kwa Mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na For Your Information imeanza kufanya kazi tokea May 2023.Hakuna Kosa hapo..
Hakuna Mtu anayejua Lengo la mchukuaji Video zaidi ya mchukuaji mwenyewe..
HIsia za Muonaji Sio hisia za mchukuaji..
Kwahyo Hakuna kosa hata kidogo..
Kisheria Na wala Ethically labda kama una Mada nyingine
Hurusiwi kumrekodi mtu bila ridhaa yake na kusambaza video hiyo mtandaoni, hata akiwa rafiki yako kama hakukupa ridhaa ya kufanya hivyo anaweza kukushtaki ukafungwa, kulipa faini ama vyote kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Na hayo sio maadili ya kazi, kijana anafata amri sababu hana chaguo lolote. Ungerekodiwa wewe na video kusambaa katika hali hiyo na kukutana na maoni kadha wa kadha kuchambua unavyoonekana na maoni mabaya bado ingekuwa sawa kwako? Au sababu ni kijana wa kiume kwa hiyo haina shida, anaweza 'kulimezea'?Mimi binafsi sioni kosa lo lote!
It's unethical.Wakuu kwema?
Nimekutana na video hii mtandaoni, ambako huyu 'kuruta' (kama sijakosea) anapewa amri ya kugeuka kulia na kushoto, kijana huyo anafata maagizo aliyopewa huku anayetoa maagizo na wengine wakisikika wakicheka.
Nini dhumuni la kurekodi video hizi mpaka kufikia hatua ya kuzirusha mtandaoni? Anayerekodiwa ameridhia? Na hii sio mara ya kwanza kukutana na video kama hizi mtandaoni, za hawa wanafunzi wanaokwenda jeshi kwa mujibu wa sheria kurekodiwa katika matukio mbalimbali.
Huu ni udhalilishaji wa utu wake, tayari watu washaanza kutoa maoni mbalimbali juu ya muonekano wake, maumbile na kadhalika, kwa hali tu ya kawaida hakuna mtu angependa kurekodiwa katika hali hiyo na video hiyo irushwe kwa kila mtu kuona.
Hii sio sawa, kwanza ukipewa amri hapo lazima ufate, usipofata ni kukaidi na udhabu unapewa. Kwanini tunahalalisha udhalilishaji huu uendelee kutokea na kuonekana na kawaida? Wanajeshi wapo juu ya Sheria? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wao haiwahusu?
Aliyechukua video hii awajibishwe, Jeshi kama chombo cha ulinzi wanatakiwa kuwa mfano kwenye kufata sheria na sio kuwa wa kwanza kwenda kinyume na kudhalilisha utu wa watu.
Kutoka kwenye comments za video hiyo anayesikika akitoa amri ni Afande Sese, JKT Oljoro.
Sheria iwe msumeno, sio ikate kwetu tu halafu kwao kuwe butu.
Vitu vya kawaida hiyvo bro! Huyo yupo kwenye military training!Wakuu kwema?

Habari Precious Diamond..Jielimishe kidogo tu uache kutoa maoni kama haya, na wewe kama Dr. inabidi uwe muelewa zaidi kuhusu husu sababu unadeal na taarifa za watu pia. Haijalishi lengo lake wala sisi tunafikiria nini, kitendo cha kumrekodi bila ridaa yake na kurusha video hiyo mtandaoni ni kosa kwa Mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na For Your Information imeanza kufanya kazi tokea May 2023.
Nakushauri ukaisome na uelewe vizuri, kwa comment hii ni dhahiri kuna uvunjifu mkubwa wa sheria upande wenu.
Wewe ungedhalilishwa hivyo ungejisikiaje??Vitu vya kawaida hiyvo bro! Huyo yupo kwenye military training!
Sio wasafi studio akirekodi wimbo na zuchu!
Jeshi ni lazima, utestiwe uwezo, wako wa kuhimili sycology torture! Abuse, physical torture, lengo ni kuku Jenga tu bro! Hakuna Nia mbaya!
Kwenye battle field kuna mabaya Zaidi ya hayo
Hakuna Aliyedhalilishwa hapo. Naomba unionyeshe Sheria iliyovunjwaWewe ungedhalilishwa hivyo ungejisikiaje??
Ni kweli uko sawa sawa kichwani au kidogo umepiga bia mbili tatu??