Mkuu; unauhakika gani kama hilo sio igizo?
Mbona hatumuoni afande anayetoa Amri ila wewe unamtaja afande Sese wa Oljoro. Hatuwaoni wanaocheka (JKT huwezi kucheka hovyo-hovyo namna ile)
Uniform za JKT sio hiyo alovaa huyo muigizaji. T-shirt Kijani ya Jeshi na Bukta ya blue vinaeleweka hata jinsi vilivyoshonwa. Uwekaji wa nywele na usimamaji wa aliyerekodiwa umekaa kimtaani / kiraia sana. Hakuna kitu kama hiko JKT.
- Je, ww unabifu na huyo afande?
- Je ww umewahi kupitia JKT au ulitoroka JKT? au basi walau mafunzo ya mgambo? Mbona inaonekana kama unakitu fulani dhidi ya JKT? Huipendi JKT?
Mkuu elewa kabisa JKT ni Chuo cha mafunzo kama zilivyo shule zingine.Mtu unaingia shuleni hujui 1+1 = 2 lakini baada ya mafunzo unajua hata zaidi ya hapo. JKT inaamini kwamba Kuruta hajui hata kutembea. Ndo mana kuna smart area ambapo kuruta hupita hapo kwa kukimbia.
Kuruta (
Kuruta One)hufunga mguu kwa kuruka na kutamka"MOJA".
Je, mbona huyo chalii hapo hana ivo vigezo?
Hiyo ni Chai -bila sukari wala maandazi -TUPA KULEE.