Je, ni sawa kwa Wanajeshi kurekodi video kama hizi na kuzisambaza mtandaoni?

Huenda, huenda, huenda tuliza kichwa chako vizuri na soma unachoandika hauongei na wendawazimu hapa.
Kati yangu na wewe nani atulize kichwa..?
Mkuu tuliza kichwa tuliza Hasira, Andika bila kupanic Hasira humfanya mtu aandike Vitu visivyo na maana na atafumbwa na ukweli hatouona..
 
Kati yangu na wewe nani atulize kichwa..?
Mkuu tuliza kichwa tuliza Hasira, Andika bila kupanic Hasira humfanya mtu aandike Vitu visivyo na maana na atafumbwa na ukweli hatouona..
Vizuri ni kuwa umeelewa
 
Ila naona huyo Kuruta alikuwa bado anahitaji mafunzo zaidi, maana hayo mambo ya kwata ni sehemu ndogo sana ya mafunzo ya Jeshi
Athari za utandawazi hayo, mambo ya sirini yanawekwa wazi na ya wazi yanafanywa Siri πŸ™Œ
 
Hakuna Mwanajeshi hapo

Mleta mada

Huoni kuwa ni raia huyo
 
Unaona huo ugeukaji wake

Ila naona huyo Kuruta alikuwa bado anahitaji mafunzo zaidi, maana hayo mambo ya kwata ni sehemu ndogo sana ya mafunzo ya Jeshi
Athari za utandawazi hayo, mambo ya sirini yanawekwa wazi na ya wazi yanafanywa Siri πŸ™Œ
Huyo ni raia mkuu na hata sio kuruta
 
Mkuu mbona umeandika hivi:
"Nimekutana na video hii mtandaoni, ambako huyu 'kuruta' (kama sijakosea) anapewa amri ya kugeuka kulia na kushoto, kijana huyo anafata maagizo aliyopewa huku anayetoa maagizo na wengine wakisikika wakicheka.

Nini dhumuni la kurekodi video hizi mpaka kufikia hatua ya kuzirusha mtandaoni?.........."

Kwa maana hiyo wewe umeamini hicho kitu ni kweli na ukachangia kukisambaza kutoka huko ulikokiona hadi ukakileta hapa kwa maGT - Jf.
Nimekuwekea visababu hivyo ili kukurudisha kwenye ukweli usiendelee kuhadaiwa.
Hapo hakuna kosa lolote kwani maigizo hufanywa na yeyote anayejisikia kufanya hivyo ( bure au kwa malipo)na wala sio lazima awe na official page.
Siwezi kusaidia jambo hewa. Wewe mwenyewe unajua jinsi ilivyo vigumu kuchukua picha ndani ya eneo la Jeshi lakini bado unaamini jambo hilo limerekodiwa Oljoro JKT.
Ni hayo tu.
 
Hakika. Mkuu

Sema hii mitandao sasa uhuru umezidi
Kuna changamoto kubwa ya kubaini ukweli wa taarifa za mitandao, maana Kila mtu anaweza kupost chochote na kikaenda hewani bila kuwa regulated
 
emotional and sensitive people wanaua sana vibe kwa huu ulimwengu kila kitu wanachukulia personal
kuruta mwenyewe anaonekana ana enjoy na afande member wa internet society ana catch feelings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…