Je, ni sawa kwa Wanajeshi kurekodi video kama hizi na kuzisambaza mtandaoni?

mkuu kichwan ww ni mtupu ,training inahusisha kusambaza video za watu ? kama tuna jeshi la hv basi PK atatundunda sana , hatuez hata weka privacy za training zetu na unaita kawaida tu
 
Haina ubaya wowote na jamaa sio nanga, huo ugeukaji wake wa kutanguliza mguu nyuma nshawahi kuuona YouTube sikumbuki lilikuwa ni jeshi la nchi gani wanageuka hivyo
Na kwa akili hizo unategemea viongoz bora? Kwamba wewe ungepostiwa hivyo ungesema ni sawa tu? na pisi yako ione, kuna watu wana UBINAFSI MWINGI SANA, JAMBO BAYA KWAKO ILA KWA WENGINE NI SAWA TU.
 
umeelewa mada ? umetetea jkt kuliko kujikita kwenye mada
 
ebu jikite kwenye mada , maneno mengi sana , JE NI SAHIHI KUPOSTI ?
 
ebu jikite kwenye mada , maneno mengi sana , JE NI SAHIHI KUPOSTI ?
Habari Mdusi!
Ni aibu kwa Taifa kuendelea Kuzalisha Vijana wa Kaliba yako! (Samahani kwa kusema hivyo)..
Vijana ambao wanauwezo mdogo wa Kujadili mada na hoja

Sasa Nikuhoji Umepitia Sheria nilizoziweka?
Je unajua Sheria za Mafunzo?

Kwa Elimu yako ya Kisheria na Ethics za Kijeshi wamevunja Sheria Ipi ya Kijeshi ama ya Privacy..

Baada ya kuvunja sheria hiyo mlalamikaji kapost wapi kuonyesha kafanyiwa Defamatory?

Vipi Huyu aliyepost Humu na aliyechukua Nani aliyemdhalilisha Huyo kijana kwa mujibu wa Sheria?

Kijana uelewaa wako bado ni mdogo sana..jifunze

NB: Huwa sijibu watu wasio na hoja ila imenibidi nikujibu kuweka record sawa
 
umeelewa mada ? umetetea jkt kuliko kujikita kwenye mada
Sawa mkuu. Niliona kana kwamba kuna watu wanataka kutuchota akili ili kujua tuna msimamo gani. Sio vizuri kuleta humu jamvini maigizo halafu ukadai ni kitu cha kweli. Ndo mana nimeona niuanike ukweli/uhalisia ili na wengine wenye nia kama hiyo wasiendeleze kuzileta vids hapa.
 
Duh! Mkuu umekuwa mkali mno. Hebu lainisha kidogo lugha uliyotumia japokuwa unayo point nzuri ya kuelimisha. Wanafunzi watakukimbia darasani mzee. πŸ˜€πŸ˜€
 
Duh! Mkuu umekuwa mkali mno. Hebu lainisha kidogo lugha uliyotumia japokuwa unayo point nzuri ya kuelimisha. Wanafunzi watakukimbia darasani mzee. πŸ˜€πŸ˜€
Nimejitahidi Sana maana nimeandika nikafuta zaidi ya mara tatu..

Maana kijana kaanza kwa kutukana kama post tatu hivi anasema mara Huna akili mara Iq ndogo wakati huo sijaona hoja aliyotoa Kuhusu Sheria nilizoweka mezani..

Kwahyo nikavuta pumvi Na nikajiapiza sitamjibu hata akijibu kwa sababu ninaweza kuingia kwe ye malumbano yasiyo na afya
 
Pole sana mkuu.
 
Umeniattack mkuu , kwanza hapo itambulike kuwa mke wangu nitamzalisha mwenyewe alafu ikubaliwe kuwa nimetoa onyo kabla kuwa mtu anijibu kwa hoja na staha ili kunilinda mimi na penzi langu jipya .

Ila mwisho niseme kuwa hapo sijaona kosa la kinidhamu wala kimaadili .
Uko hapo afande ?
 
C
Chief pole sana , unahangaika na vitoto vya 2000 ? Hawa nikuachana nao ndiyo maana mimi niliamua kuwa na masiala popote humu lengo nisijekukosa sehemu ya furaha yangu .

Kizazi kimekengeuka na bahati mbaya wanaishi kwa google si sheria , si ethics yaani wao ni kugoogle na kuja na story za vijiweni tu .

Kinachouma wanaweza kuwa wanabishana na mtu aliye katika kada husika kwa wakati fulani ila kwakuwa wamekengeuka ni kuishi nao ndyo wanetu , watoto wetu na pia kaliba ya vijana tunaopishana nao daily .
 
Kweli chief, Vijana hawana wanalolijua ila kutwa kubisha halafu bila hata hoja..
Nafuu basi ungeona mtu anahoji anasema haiko sawa kwa sababu ya sheria hii kifungu hiki na kanuni hii kwa kanuni ya mwaka fulani..

Mi nishapoa chief na nimewapuuzia tu kwa sababu hawajui walitendalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…