Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Salaam Wakuu,
Leo nimekuja na huu mjadala ambao umechochewa na mambo kadhaa ninayoshuhudia au kukutana nayo mtaani.
Binafsi ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye watu wengi hivyo nashuhudia mengi hasa malezi na mahusiano ya watu wengi katika familia mbalimbali.
Natambua kuwa ni muhimu sana wazazi kuwa na upendo na kuuonesha kwa watoto wao kwa namna mbalimbali. Nini mtazamo wako kuhusu suala la mzazi kumuonesha upendo mwanae kwa kumbusu mdomoni?
Picha na video zifuatazo zimetumika kama mfano na kwa nia njema ya kuimarisha mjadala. No hard feelings.