Je, ni sawa kwa wazazi/walezi kuwabusu watoto wao mdomoni kama ishara ya kuonesha upendo?

Je, ni sawa kwa wazazi/walezi kuwabusu watoto wao mdomoni kama ishara ya kuonesha upendo?

Busu ni nini na ina-ashiria na katika utamaduni wa wapi ?

Tanzania huenda sio sawa Ufaransa huenda ndio utamaduni wao...

Kulikuwa na tamaduni kusalimia mpaka upike magoti (To each his / their own)
 
Back
Top Bottom