Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Oct 28, 2022 #21 Busu ni nini na ina-ashiria na katika utamaduni wa wapi ? Tanzania huenda sio sawa Ufaransa huenda ndio utamaduni wao... Kulikuwa na tamaduni kusalimia mpaka upike magoti (To each his / their own)
Busu ni nini na ina-ashiria na katika utamaduni wa wapi ? Tanzania huenda sio sawa Ufaransa huenda ndio utamaduni wao... Kulikuwa na tamaduni kusalimia mpaka upike magoti (To each his / their own)