Kitu Cha kawaida sana, inategemea, umezaliwa na kukuzwa vipi.Salaam Wakuu,
Leo nimekuja na huu mjadala ambao umechochewa na mambo kadhaa ninayoshuhudia au kukutana nayo mtaani.
Binafsi ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye watu wengi hivyo nashuhudia mengi hasa malezi na mahusiano ya watu wengi katika familia mbalimbali...
Asante kwa maoni yako ndugu yanguKitu Cha kawaida sana,inategemea,umezaliwa na kukuzwa vipi.
Miaka ya 90,kuona mtu Mwanaume kasuka nywele kama maasai,ilikuwa ajqbu sana,yaani ukiona Mtu anaingia kanisani,kasuka nywele,ilikuwa ajqbu,siku hizi,kitu Cha kawaida sana,utamaduni unabadirika kwa nyakati
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂Wazazi wa Dar hao, huku mikoani watoto wa umri huo wako wanachunga mifugo na shughuli nyingine za nyumbani.
Yeah,ni sahihi kabisaKwangu Mimi mdomoni si sawa, shavuni it's okay