copyright
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 584
- 584
Habari! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Jana baada ya kipigo cha 0-2 toka kwa Al Hilal ya Sudan, baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Kibwana Shomari walionekana kuondoka uwanjani hapo kwa usafiri binafsi na sio wa pamoja kama timu ambapo Kibwana alionekana kuondoka na bodaboda na Aziz Ki kwa gari binafsi.
Kwa kawaida tumezoea kuona timu ikiingia pamoja na kutoka pamoja kabla na baada ya mchezo na ndio utaratibu. Ila kwa timu ya Yanga jana wameonyesha udhaifu mkubwa katika katika uongozi na katika mashindano makubwa.
Sasa je hii ni sawa kwa usalama wa wachezaji wao?