Je, ni sawa wachezaji wa Yanga SC kuondoka uwanjani kwa bodaboda?

Je, ni sawa wachezaji wa Yanga SC kuondoka uwanjani kwa bodaboda?

Habari! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Jana baada ya kipigo cha 0-2 toka kwa Al Hilal ya Sudan, baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Kibwana Shomari walionekana kuondoka uwanjani hapo kwa usafiri binafsi na sio wa pamoja kama timu ambapo Kibwana alionekana kuondoka na bodaboda na Aziz Ki kwa gari binafsi.

Kwa kawaida tumezoea kuona timu ikiingia pamoja na kutoka pamoja kabla na baada ya mchezo na ndio utaratibu. Ila kwa timu ya Yanga jana wameonyesha udhaifu mkubwa katika katika uongozi na katika mashindano makubwa.

Sasa je hii ni sawa kwa usalama wa wachezaji wao?
Maagizo ya mganga wao
 
Nani amewaruhusu kupanda boda,? wangetembea tu kwa miguu hii ni therapy tosha kbs, wangepata wasaa mzuri zaidi wa kujiuliza ni wapi walikosea na katika best practices nini kinatakiwa kifanyike ili ku-rescue situation hasa Engineer!, Pia tungependa atueleze ni kilichomtoa Gamond kiasi cha kuwa na zero tolerance wakati huu ambapo kubadilisha kocha ni risk kubwa mno kuanzia kwenye saikolojia, tactics, na performance ya mchezaji mmoja mmoja na timu kwa ujumla wake.
Kw miguu taifa mpaka avic ,wangeogelea sio
 
Vipi kuhusu usalama wao kama wangetembea kwa mguu? Injinia nahisi walimdanganya juu ya Gamond
Nilisema tu kama mtu tu aliyekuwa na dharabu,, kwa maana ya kutaka kuiona Yanga ikiendelea kuwa kubwa zaidi na zaidi but natambua umuhimu wa wachezaji wetu na nawaheshimu sana pia namweshimu sana Eng. Hersi, Tuishi humu kwa sasa.
 
Mnakufa na tai shingoni
 
FB_IMG_17326758759506674.jpg
 
Back
Top Bottom