Je, ni sawa wachezaji wa Yanga SC kuondoka uwanjani kwa bodaboda?

Je, ni sawa wachezaji wa Yanga SC kuondoka uwanjani kwa bodaboda?

Nani amewaruhusu kupanda boda,? wangetembea tu kwa miguu hii ni therapy tosha kbs, wangepata wasaa mzuri zaidi wa kujiuliza ni wapi walikosea na katika best practices nini kinatakiwa kifanyike ili ku-rescue situation hasa Engineer!, Pia tungependa atueleze ni kilichomtoa Gamond kiasi cha kuwa na zero tolerance wakati huu ambapo kubadilisha kocha ni risk kubwa mno kuanzia kwenye saikolojia, tactics, na performance ya mchezaji mmoja mmoja na timu kwa ujumla wake.
Vipi kuhusu usalama wao kama wangetembea kwa mguu? Injinia nahisi walimdanganya juu ya Gamond
 
Back
Top Bottom