Ni sawa tu mpira ni kama kazi nyingine kila mmoja yupo huru kutumia usafiri wake ila bongo ndio tunaendekeza upuuzi wachezaji kuchungwa kama mbuzi kuondoka kwa makundiHabari! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja..
Jana baada ya kipigo cha 0-2 toka kwa Al Hilal ya Sudan, baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Kibwana Shomari walionekana kuondoka uwanjani hapo kwa usafiri binafsi na sio wa pamoja kama timu ambapo Kibwana alionekana kuondoka na bodaboda na Aziz Ki kwa gari binafsi.
Kw kawaida tumezoea kuona timu ikiingia pamoja na kutoka pamoja kabla na baada ya mchezo na ndio utaratibu. Ila kwa timu ya Yanga jana wameonyesha udhaifu mkubwa katika katika uongozi na katika mashindano makubwa.
Sasa je hii ni sawa kwa usalama wa wachezaji wao??
Mbona unatufokeaa sasa!Achana na sisi
Ni utaratibu wa kawaida mkuu kuingia na kutoka pamoja ni vyema tu wangeuheshimuNi sawa tu mpira ni kama kazi nyingine kila mmoja yupo huru kutumia usafiri wake ila bongo ndio tunaendekeza upuuzi wachezaji kuchungwa kama mbuzi kuondoka kwa makundi
Maadam haijaandikwa kwenye kanuni kuwa LAZIMA timu iondoke pamoja baada ya mechi, basi kuondoka individually badala ya mmoja mmoja ni sawa! Ahahahahaha!!!Habari! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Jana baada ya kipigo cha 0-2 toka kwa Al Hilal ya Sudan, baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Kibwana Shomari walionekana kuondoka uwanjani hapo kwa usafiri binafsi na sio wa pamoja kama timu ambapo Kibwana alionekana kuondoka na bodaboda na Aziz Ki kwa gari binafsi.
Kwa kawaida tumezoea kuona timu ikiingia pamoja na kutoka pamoja kabla na baada ya mchezo na ndio utaratibu. Ila kwa timu ya Yanga jana wameonyesha udhaifu mkubwa katika katika uongozi na katika mashindano makubwa.
Sasa je hii ni sawa kwa usalama wa wachezaji wao?
Kuna mzee mmoja hapa, sitaki hata kumtembelea maana amejaa upepo hatari. πππDah mpaka wanapoteana bwana