kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Umeshavurugwa na colibaly posho ya goli la mama limeota mbawa bora wakavute shisha la mwisho warudi kambini kila mmoja na usafiri wake!Ni utaratibu wa kawaida mkuu kuingia na kutoka pamoja ni vyema tu wangeuheshimu
Dunga dunga SCSindano FC
Acha porojo wewe. Haya mambo yalifanyika miaka ya 2010 kurudi nyuma. Hii 2024 unataka kuchekesha watuKama taarifa huna ni bora ukae kimya mkuu mana utachekesha watu bila kutarajia