Je, ni sawa wachezaji wa Yanga SC kuondoka uwanjani kwa bodaboda?

Kuna mechi pia basi lao lilikutwa limeachwa nnje ya uwanja
 
Alikuwa anaendesha mwenyewe au "Boda Boda Wake" Alimfuata?
 
Ushamba mzigo.
Wachezaji wa ligi kubwa duniani hawaendi na gari za club uwanjani hasa wanapokuwa nyumbani.
Wewekumuona kibwana kapqnda bodaboda unashangaa.
Kagere alipokuwa simba miaka yote alitumia bodaboda. Ulifikiri hakuwa na pesa ya kununua gari?
Kuishimbagala kusikufanye uwe z
uzu mkuu
 
Sijawahi ona club kubwa inaenda kwenye mashindano ya adhi ya CAF au UEFA champions league wakienda na bodaboda au usafiri binafsi.. Tumia kichwa chako vizuri usiipe shingo mzigo
 
Kuna wengine walisubiri mpaka giza lilipoingia wakaondoka kwa usafiri wa fisi na mbweha.
Maajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…