Je, ni Siasa za sasa za Tanzania ndizo zinawakwaza IMF na WB hadi hawatujali tena Watanzania au kuna 'Kirusi' Kimewakwaza sana?

Hatuhitaji sana misaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini bado una matatizo ya akili kabisa yani hawa unao wataja ni juzi tuu wamemwaga mapesa sijui wewe ulikuwa wapi au ni ujinga tuu ulio nao hahahaha


Sent from my iPhone using Tapatalk
Pesa zilizoidhinishwa na WB kutolewa kwa Tanzania kusaidia Elimu USD 500Mil hazijatolewa bado..
Zitaanza kutolewa kuanzia June 2021 tena zitatolewa kwa miaka 5 au 6 kwa mafungu/kidogokidogo kwa kuangalia kila fungu lililotolewa nyuma lilivyofanya kazi.
 
Nakumbuka walivyo tupiga pini kipindi cha miaka ya Mwalimu na Mwinyi, mzee Mkapa alifanya kazi kubwa sana kuujenga msingi wa uchumi imara na mahusiano mema na hawa watu wa jumuiya ya kimataifa. Sasa huyu mkemia sijui anaipeleka wapi nchi hii.
Hivi unafikiri kukopakopa ni jambo jema. Shukuru sana unapoona unanyimwa mkopo maana kulipa na riba ni hasara kwa taifa utaendekea kunyonywa hadi ukome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu WB wameshaidhinisha USD 500 million mkuu juzi tu au umesahau tena zile Zitto na Wanaharakati walishindwa kuzizuia pamoja na kufunga safari kwenda US!
WB ya chatlle... hiyo pesa imezuiwa , marekani mpaka ajiridhishe kua mabinti watarud shule, last week wizara ya elimu ilitoa taarifa kwa vyombo vya habari ikisema kwamba mabinti watasoma, bado marekan hajasema kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini bado una matatizo ya akili kabisa yani hawa unao wataja ni juzi tuu wamemwaga mapesa sijui wewe ulikuwa wapi au ni ujinga tuu ulio nao hahahaha


Sent from my iPhone using Tapatalk
wamemwaga mapesa wapi! pesa zinaanza kutoka 2021 -26....kwa awamu 6 yenye masharti magumu kwa mzee wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu WB wameshaidhinisha USD 500 million mkuu juzi tu au umesahau tena zile Zitto na Wanaharakati walishindwa kuzizuia pamoja na kufunga safari kwenda US!
Hujaona kizingiti cha Marekani, mwanzilishi wa WB, na mwanachama pekee mwenye veto ndani ya WB?

Mkopo umepitishwa kwenye makaratasi lakini kutolewa, installment ya kwanza ni 2021, kama tutakuwa tumekidhi mambo tuliyoahidi kuyafanya, mojawapo ni kuwarudisha watoto wa kike waliopata ujauzito wakiwa shuleni. Tena warudishwe kwenye shule zile zile walizokuwa wanasoma.

Ni sawa na mtu anakuambia nimekutengea nafasi ya kwenda kusoma chuo kikuu ukipata division 2. Kushangilia hiyo offer, ni lazima, kidogo ziwe zimepungua.

Huu ni mtego. Wanataka kumfedhehesha mtu!!
 
Wakubwa wanataka kututhibitishia yale maneno ya Mwalimu Nyerere kuwa kuna nchi na vinchi. Ikimaanisha kuwa kuna Marais na Virais. Ukiwa Kirais ukataka kuonesha kuwa Rais, watataka wakuthibitishie kuwa wewe ni Kirais.
 
Hujausoma mkuu?
 
Msimamo wa IMF na WB ni msimamo wa Marekani, Kifupi Mashirika ya Umoja wa mataifa hutekeleza msimamo wa Marekani. Kama unauelewa mpana tupo pamoja
 
Mnawaita "mabeberu"kila siku..nao wana mioyo
 
Ukiona misaada inakuja haraka haraka ujuwe kuna sehemu unapigwa sana,hakunaga vya burebure katika hii dunia,(there is no free lunch).

Magufuli kawabania sana ,wanahasira,walizoea kunyonga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hawaelewi haya mambo ya mikopo wanafikiri ni kama vile unavyokopeshwa na kaka yako mkubwa.

Masharti lazima yaanze kutekelezwa tena bila masharti.
 
Siku hizi tuna Benki ya Afrika mkuu! Hatubembelezi sana ndiyo maana juzi mwametupa USD 500m za Elimu pia kumbuka mradi wa barabara za mijini zinatengenezwa kwa pesa za WB inaonekana you are not informed mkuu!

Unajua huo mkopo ulisainiwa lini? Kwa taarifa yako huo sio mkopo mpya na ulikuwa negotiated enzi ya mkwere. Ulikuwa unasubiri approval kwa ajili ya disbursements na ndicho kilichofanyika sasa hivi.
Na hujui kuwa WB ina hisa AfDB, kwa hiyo wakiamua hakuna mkopo wa msaada jiwe atakaopata kutoka non-commercial international financial institutions.
 
Kwa hiyo akili yako unafikiri kila serikali inaendesha mambo yake? Lazima kuwe continuation ya projects
 


Hela /za mabeberu zitapishana round about ya msamvu na uchaguzi wa mwaka huu..safi sana!
 
Naamini bado una matatizo ya akili kabisa yani hawa unao wataja ni juzi tuu wamemwaga mapesa sijui wewe ulikuwa wapi au ni ujinga tuu ulio nao hahahaha


Sent from my iPhone using Tapatalk
Wewe mbona unang'aka zaidi ya RAIA namba moja?

Ukweli ni kwamba Tanzania inatengawa kwa sababu ya RAIA namba moja anadai ana ela kuwazidi.

usizuie watu kuhoji juu ya Taifa lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo akili yako unafikiri kila serikali inaendesha mambo yake? Lazima kuwe continuation ya projects

What's your point? Hoja hapa ni kuwa WB wametoa mkopo, kwa nini msiseme approval iliyopo ni ya kuruhusu disbursements za fedha kwa mkopo uliokubaliwa wakati wa serikali iliyopita? Kwa nini itangazwe kuwa WB wanatoa mkopo mpya wakati inajulikana kuwa si mkopo mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…