Je, ni siri gani yoyote ya Mafanikio unayoijua tofauti na kuroga?

Je, ni siri gani yoyote ya Mafanikio unayoijua tofauti na kuroga?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.

Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency?

Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
 
Hangaika na soko kubwa au wateja wakubwa. Kazi za Elfu hamsini, laki mbili na kadhalika zitakupa kula tu ila hamna kutoboa.

Mafanikio makubwa yapo kwenye wateja wakubwa na miradi mikubwa ya serikali, mashirika na makampuni makubwa size za Millioni 10, Millioni 100, Billioni na kadhalika.
 
unamzungumziaje Bakhresa na biashara zake za mikate ya buku buku, juice za jero jero na biscut za mia mia ?
 
Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.
Je ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency? Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
1.Kuwa king'ang'anizi katika jambo unalolifanya.
2.Wekeza katika elimu katika jambo hilo..
3.kuwa na nidhamu ya fedha
4. Saidia wenye uhitaji

5. Usisahau kumwomba mungu
 
Mafanikio hayana accurate formula,ingekua ni hivyo basi watu wote wangefuata hiyo formula na kua matajiri,

Kingine,tafsiri ya mafanikio inategemea mtu na mtu,kuna mtu kununua Baiskeli kwake ni mafanikio ila kwa mwingine unakuta hilo kwake sio mafanikio,

Mafanikio ni kutimiza malengo uliyojiwekea.
 
Back
Top Bottom